enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 2,624
- 9,987
SI ukzitafute X huko, nikuletee picha na video nimekuwa CNN..Una BLA BLA nyingi sana kama Ayatollah Khomeini aliyepigwa dk ya kwanza ya pambano
Wenzako wanaleta picha na video wewe unaleta maneno matupu
Ndo maana wenzio wanabondo kizembe sana
Acha kutujazia server Kwa maneno yako ya kutunga tungaSI ukzitafute X huko, nikuletee picha na video nimekuwa CNN..
Hujajibu hoja.Tulia mashmbulizi yanaendelea
Ayatollah alikuwa na maneno mengi sana
Dk ya kwanza chali
Hio chuki ndo itakufata wewe Kwa stressBinafsi siwapendi hawa wa marekani natamani wangefutwa kabisa duniani
Huna hoja mkuuHujajibu hoja.
Kuna nchi ina maandamano kuliko US duniani? uliza hata wanaoishi US humu watakuambia...Nchi tajiri??? na wananchi waliandama sababu ya maisha magumu au unazungumzia utajiri gani kitukuu cha marehemu ayatollah
Kwahiyo wao kumchangia mwenzao sio kosa ?Wameishiwa wanaanza kusema Iran anapewa backup siwanasemaga kwamba Russia Hana nguvu !?
Russia mpaka Sasa ame- achieve alicho kua anakitaka... Mpaka saivi Ukraine na NATO wameshindwa kuyakomboa maeneo yaliyo chukuliwa na Russia.. unasemaje ameshindwa? Uko sawa kweli wewe?Visingizio vya kushindwa vita hivyo!!!
Mwala wa 4 sasa Russia anahangaika na Ukraine tu. Putin kameza ndoano kuimeza hawezi na kuitema hawezi amebaki kuficha tu aibu yake askari wake wanapukutika kama nzige huko Ukraine!!