Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kambi ya mizinga magharibi mwa Tehran. Mlipuko mkubwa sana. Eneo kubwa mwanga mkali umetokea(ni eneo lililo hifadhi ya mizinga)
20260307_031532.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mehr Villa karaj. Milipuko mikubwa sana
 
Mahesabu ya Netanyahu yamekwenda sivo huu ndio Mwisho wake yeye na Serikali yake!!!

Sababu tunaambiwa Makombora yanalenga nyumba za Mawaziri na wakuu wengine wa Kijeshi na kiusalama.

Kile kipindi cha Ukombozi sasa tutakiona kwa macho yetu Inshallah!!

pale Iran pale Yemen kati Hezbollah kazi imeisha!!

Kwasasa kunavunjwa mizizi na mifupa ya Marekan Middle East pote!!!

kifuatacho tutakiona ndani ya mipaka ya Israel.💀
 
Anapigana na mataifa mangapi?
Visingizio vya kushindwa vita hivyo!!!

Mwala wa 4 sasa Russia anahangaika na Ukraine tu. Putin kameza ndoano kuimeza hawezi na kuitema hawezi amebaki kuficha tu aibu yake askari wake wanapukutika kama nzige huko Ukraine!!
 
Mahesabu ya Netanyahu yamekwenda sivo huu ndio Mwisho wake yeye na Serikali yake!!!

Sababu tunaambiwa Makombora yanalenga nyumba za Mawaziri na wakuu wengine wa Kijeshi na kiusalama.

Kile kipindi cha Ukombozi sasa tutakiona kwa macho yetu Inshallah!!

pale Iran pale Yemen kati Hezbollah kazi imeisha!!

Kwasasa kunavunjwa mizizi na mifupa ya Marekan Middle East pote!!!
kifuatacho tutakiona ndani ya mipaka ya Israel.💀
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu!!!
 
Sawa Khamenei kafa,je Trump amefanikiwa kuiangusha tawala ya kishia??
Je Trump amefanikiwa kuwaburuta Iran mezani??
Jibu HAPANA,matokeo yake jeshi ndio wamebeba uongozi wanaendesha vita wao.
Hii inakupa tafsiri gani!?
Tulia mashmbulizi yanaendelea
Ayatollah alikuwa na maneno mengi sana
Dk ya kwanza chali
 
Mahesabu ya Netanyahu yamekwenda sivo huu ndio Mwisho wake yeye na Serikali yake!!!

Sababu tunaambiwa Makombora yanalenga nyumba za Mawaziri na wakuu wengine wa Kijeshi na kiusalama.

Kile kipindi cha Ukombozi sasa tutakiona kwa macho yetu Inshallah!!

pale Iran pale Yemen kati Hezbollah kazi imeisha!!

Kwasasa kunavunjwa mizizi na mifupa ya Marekan Middle East pote!!!
kifuatacho tutakiona ndani ya mipaka ya Israel.💀
Mtu analeta taarifa toka kunya media na wewe unashangilia, kupiga nyumba za mawaziri sio shida, maana huwa wapo kwenye bunker zao na hakuna shida au mshamuua waziri gani
 
Tunapandisha bendera nyekundu 🤣🤣🤣

hii mijitu Ina mikwara
 
Attachments

  • Screenshot_20260307-063940_1.jpg
    Screenshot_20260307-063940_1.jpg
    271.1 KB · Views: 10
Back
Top Bottom