City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Wale ni wafanya biashara, inawezekana kweli iron dome iliweza kupangua missiles, lakini mostly ni maroketi ya Hamas na Hezbollah.😄😄😄 Iron dome ilivyokuwa inasifiwa kama ni opponent wa USA au Israel lazima uzimie before hata hawaja kuvamia ,
Kumbe bwana ni sawa sawa na kununua kitu online tu ukisha kununua Sasa ndio unajua uhalisia wake kuwa umepigwa na kikuu on line market 🤣🤣
Hii naamini...There’s only one group that’s clearly winning in this war… the Military Industrial Complex. Here’s my $50 billion theory on why we never have peace, regardless of who’s President.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Mkuubahari uwa ina hama na kurudi.
Soma kitu kinaitwa Tide and tide..hapo bahari imehama kwa muda,baadae ilirudi.
Mkuu kwa utaalamu ulionao wa masuala ya kijeshi, hiki ulichoandika ni uongo.Iran hivi sasa wanaweka fake aunchers ambazo ni magari yanabeba mapipa au mabati yanachongwa mfano wa missiles, wanaweka hayo magari sehemu flani kimkakati, ndege za Israel wanaona ni launchers na zina missiles.
Mkuu nina maswali kutokana na hizi hoja zako:
- Iran yeye kwa siku anapata hasara kiasi gani? Au wao hawapati hasara
- Iran yeye anafanya hizo exportation na importation?
Hasara anayo ipata Iran huwezi linganisha na USA, kudungua Drone ya Iran (Shahed) yenye thamani ya $35,000 - $40,000 inamchukua USA $4m... Zaidi sana Iran hasara inayo pata kuharibiwa miundo mbinu yake kwenye swala la kiuchumi kwa Iran kawaida sana.
Kuhusu importation & Exportation Iran inafanya vizuri sana.. kumbuka Iran haitegenei njia Moja ya Strait of Hormuz, Kuna port of Jack & Port of Chabahar zote hizi hazitegemei strait of Hormuz... Pamoja na hayo baado Iran anaweza kutaka mzigo ipite hapo ikiwa chini yake mean anaweza kutumia hiyo strait of Hormuz bila kizuizi
View: https://x.com/IranIntl_En/status/2029944373358583903
Wairan wenyewe wanashangilia alafu kima wa kwa mtogole anajikuta Mulla
Anapigana na mataifa mangapi?unazungumzia urusi hii ambayo Leo ina miaka minne imeshidwa kumilki anga la Ukren au Kuna nyingne
Mkuu hiyo picha ukiitazama unaona kama ipo sawa?Ndani jangwa la Sanaa Hezbollah wamedungua ili chuma chuma la Israel
japo habari wanaficha ila maumivu wanayapata.
Ni kweli mimi natumia za iran tuu, hata mtaala wa shule nilizosoma umetoka iran, nilikua naandik kutoka kulia kuja kushoto, ama hakika iran ndio nchi ya ahadi, alwaa wakbarWanakopa kote sijamaanisha kwamba wanakopa Kwa Iran tu ,
Wanakopa kote ila Inatakiwa ufahamu kwamba Katika hizo pesa zinazo ingia katika mzunguko Kwa wananchi na za Iran pia zipo na zinakufikia mpaka wewe ,
Kwenye maelezo yangu hapo nimesema camera zinawekwa kwenye hizo missiles zina low resolution na zina thermal camera.Mkuu kwa utaalamu ulionao wa masuala ya kijeshi, hiki ulichoandika ni uongo.
Flighter jets za sasa ziko modernized, zipo powered na AI.
Hey zina mfumo wa kutambua jengo, gari, watu, meli , launcher, n.k kabla ya kupiga jets huwa na signatures zinazoainisha utambuzi wa target inayotaka kupiga. Kama lengo liliwekwa kwenye missile, missile itakua detected kabla ya kupigwa. Haiwezi kupiga pipa kwa kuhisi ni missile.
Niliona mwandishi mmoja wetu wa bongo jana alipost hii habari inayofanana na unachosema. Hii ya kuchora ndege chini. Jets haiwezi kupiga kivuli kwa kudhani ni ndege. Ndege ikiwepo chini palepale kwenye mfumo wake itakuwa detected.
Hii haikua kitu halisi lakini akaruka nayo, nikagundua tuna tatizo la waandishi hapa bongo
View attachment 3553788
Unabishana na kobaz bure, picha inajionesha kabisa kuwa edited. Wapuuzie tu hao mkuu, kipigo anachogongwa Iran ni heavy.Mkuu kwa utaalamu ulionao wa masuala ya kijeshi, hiki ulichoandika ni uongo.
Flighter jets za sasa ziko modernized, zipo powered na AI.
Hey zina mfumo wa kutambua jengo, gari, watu, meli , launcher, n.k kabla ya kupiga jets huwa na signatures zinazoainisha utambuzi wa target inayotaka kupiga. Kama lengo liliwekwa kwenye missile, missile itakua detected kabla ya kupigwa. Haiwezi kupiga pipa kwa kuhisi ni missile.
Niliona mwandishi mmoja wetu wa bongo jana alipost hii habari inayofanana na unachosema. Hii ya kuchora ndege chini. Jets haiwezi kupiga kivuli kwa kudhani ni ndege. Ndege ikiwepo chini palepale kwenye mfumo wake itakuwa detected.
Hii haikua kitu halisi lakini akaruka nayo, nikagundua tuna tatizo la waandishi hapa bongo
View attachment 3553788
Hizi data wame edit, ukweli ni kwamba Iran inatudai zaidi ya TRILLION 2View attachment 3553757
Zishawahi letwa Sana humu hizi data, hizo ni bilateral debt, ikimaanisha benki kuu moja kumkopesha benki kuu nyengine, haijumuishi mikopo ya Multilater kama vile IMF, WB etc.
Sisi most of time ni nchi za Asia + ufaransa mambo mengi.
Makobaz hali mbaya, kama vipi washushe nuclear tufute kizazi cha laana, maana hata hivyo vitoto vikikua vitakua magaidi💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
View attachment 3553770
Mimi natamani papigwe nuclear hapo iran kobaz wapoteaneUnabishana na kobaz bure, picha inajionesha kabisa kuwa edited. Wapuuzie tu hao mkuu, kipigo anachogongwa Iran ni heavy.
Hilo suala nenda kawabishie wamarekani wenyewe ambao walithubutu hata kuunda video na kufananisha mji wao na miji ya China.Ushawahi fika New York au unaongea tu ukiwa buza kwa mpalange🙂