baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Kwenye mkusanyiko wa watu wenye Akili zao kuleta source level kama Gazeti la kiu na Ijumaa ni dhihaka kwa wanaume wenzako.kwa nini unataka taarifa unazopend TU
Kwenye mkusanyiko wa watu wenye Akili zao kuleta source level kama Gazeti la kiu na Ijumaa ni dhihaka kwa wanaume wenzako.kwa nini unataka taarifa unazopend TU
Hata hivyo haifanyi kazi kama vile USA ilivyo Kuwa inai-hype! Mabom mengi sana yanafika Tel Aviv & Jerusalem ni vile tu wamethibiti sana social mediaKwa makombora anayorusha Iran bila iron dome, si two Aviv ingekuwa jangwa!!!
Fact lakini watapingaUnajua maana ya asymmetric warfare?
Mm saingalii hii vita kiushabiki.
Naitazamaa katka angle mbili, Moja kiuchumi, mbili Kijeshi.
Kiuchumi mpaka Sasa Iran ameshinda,
Hivi unajua Gulf Countries Saudia, UAE, Qatar, Kuwait Asilimia 80 ya uchumi wao inategemea Strait of Hormuz ambayo ndiyo ipo hapo Iran, unalijua hilo?
Sasa Iran amefunga Strait of Hormuz, Gulf Countries zimeanza kudhoofika.. hakuna kinacho toka Wala kuingia.. kama unavyo jua hizo Gulf Countries sehem kubwa ni majangwa Kwa hiyo 80% ya bidhaa wanaagiza kutoka nje zinapitia hapo Strait of Hormuz ambayo imefungwa... Saivi no importation or Exportation...
Viwanda vinavyo refine oil hapo Gulf Countries vimefingwa visima vya mafuta vinaungua... Nani mwenye hasara hapo?
Kwa mjibu ya website ya Aljezera inasema Kuwa hizo nchi kwa siku Moja zinapata hasara ya zaidi ya Dollar $1B.. kule Marekani zinapotea zaidi ya Dollar $700M kila siku ya Vita.. hapo unasemaje Iran atashindwa?
Kama vita ikiendelea ndani ya mwezi mmoja tu basi tutegemee hasara economic great depression kwa Dunia mzima siyo gulf countries.
Kijeshi tafuta hichi kitu asymmetric warfare..
Iran siyo superpower lakini ameonyesha ubora ambao wengi hatukutegemea... amemweka uchi USA.
Anyway tuendelee kuangalia hii sinema
Kwenye mkusanyiko wa watu wenye Akili zao kuleta source level kama Gazeti la kiu na Ijumaa ni dhihaka kwa wanaume wenzako.
💬 "The criminal attack on the Shajare Tayebe school, which led to the deaths of 165 schoolgirls, was carried out from this base," the IRGC said in a statement, as quoted by the Fars news agency.
Mengi yanakuwa intercepted, mbona Iran kazima internet hata wakati anawaua waandamanaji nchini kwake mbona alizima internet, au ni vile tu pro Iran mnamtetea bwana wenuHata hivyo haifanyi kazi kama vile USA ilivyo Kuwa inai-hype! Mabom mengi sana yanafika Tel Aviv & Jerusalem ni vile tu wamethibiti sana social media
Wanaiomba maiti damu 😁😁🤣Tatizo ni kwamba propaganda za US nyakati hizi hazifanikiwi..
Operation desert storm, US waliweza kuishawishi dunia, wakamvamia Saddam nchi 42.
Leo hii US yupo na Israel pekee huku nchi kama Spain inawakataa, wanaiomba msaada Ukraine, na wameomba THAAD waazimishwe kutoka S Korea na Ukraine.
Nyakati za cheap propaganda zimeisha.
Mbona majina na picha zao zinatolewa au unajisahaulisha anyway hawatafufuka🙂Kila siku haya maneno,hao viongozi waliowafanyia ujasusi hadi kuwaua hawana majina?
Bro watu wapo Iran humu humu ndani wanakwambia internet haijazimwa yote halafu wewe unaendeleza propaganda.Mengi yanakuwa intercepted, mbona Iran kazima internet hata wakati anawaua waandamanaji nchini kwake mbona alizima internet, au ni vile tu pro Iran mnamtetea bwana wenu
😄😄😄 Iron dome ilivyokuwa inasifiwa kama ni opponent wa USA au Israel lazima uzimie before hata hawaja kuvamia ,Aisee... Kabla ya vita.. hizi silaha ukizisikia unaweza kuogopa utadhani teknolojia ya halii ya juu sana.. but nothing.
Kitu kama Iron dome ni utapeli mkubwa sana.
Huyu Marekani akiingia Battle na Mrusi anachakazwa vibaya sana
Mkuu nina maswali kutokana na hizi hoja zako:Kwa mjibu ya website ya Aljezera inasema Kuwa hizo nchi kwa siku Moja zinapata hasara ya zaidi ya Dollar $1B.. kule Marekani zinapotea zaidi ya Dollar $700M kila siku ya Vita.. hapo unasemaje Iran atashindwa?
Muue 😄😄View attachment 3553757
Zishawahi letwa Sana humu hizi data, hizo ni bilateral debt, ikimaanisha benki kuu moja kumkopesha benki kuu nyengine, haijumuishi mikopo ya Multilater kama vile IMF, WB etc.
Sisi most of time ni nchi za Asia + ufaransa mambo mengi.
Unaweza kujua adui anatumia mbinu flani na bado ukashindwa kupambana nae..Aisee unachekesha sana. Yaani wewe ujue hizo mbinu za Iran halafu USA wasijue! Amazing.
Mm simtetei Iran, ila naunga Mkono Iran kujilinda... Tumechoka ubabe wa USA kuvamia nchi anayo itaka bila sababu zozote za Msingi... Kwanini asiache kila nchi ijitawale?Mengi yanakuwa intercepted, mbona Iran kazima internet hata wakati anawaua waandamanaji nchini kwake mbona alizima internet, au ni vile tu pro Iran mnamtetea bwana wenu
Sasa kama wengine wanakamatwa chap na kupotezwa au kufunguliwa kesi kwanini yeye tu aachwe wakati anahatarisha amani ya nchi?? Waandamanaji tu walikamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Vipi huyu alieorganize huo mpango yupo tu utaraiani na ushahidi mnao?Unaipangia serikali? We andaa mafaili uwe advocate wake
unazungumzia urusi hii ambayo Leo ina miaka minne imeshidwa kumilki anga la Ukren au Kuna nyingneAisee... Kabla ya vita.. hizi silaha ukizisikia unaweza kuogopa utadhani teknolojia ya halii ya juu sana.. but nothing.
Kitu kama Iron dome ni utapeli mkubwa sana.
Huyu Marekani akiingia Battle na Mrusi anachakazwa vibaya sana