Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Na atapoteza

Ushuhuda kutoka kwa mtu wa Mungu aliye onyeshwa MAONI YA UFUNUO na Yesu...kwamba IRANI ina silaha hatari zaidi duniani zenye uweze mkubwa zaidi wa kuharibu sehemu kubwa zaidi ya duniani kuliko nchi yeyote duniani...

Na kwamba Yesu hataruhusu zitumike kabla hajawaondoa watu wake (watakatifu ama kanisa)..katika UNYAKUO WA WATAKATIFU...mana hizo silaha ambazo zimefichwa kwa siri IRANI ni silaha hatari kabisa duniani..YESU alimuonyesha mpaka zilipofichwa akamuelezea na uwezo wake wa kufanya madhara makubwa duniani...

TAKE HOME MESSAGE

UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA sana...tengeneza mambo ya nyumba yako..hizi ni dakika za mwishoni....
huyo mtu wa Mungu mwambie Aachen kutumia ugoro kama kilevi.
 
Labda
Wanatafutana kwenye. VIFUSI.

Na Mpigani yupo Iran anacheza Draft tu bado hajatoka ndani ya nchi yake,, !!!!

lkn. Kazi ndio iyoo kutaftana kwenye Vifusi. Bado!!

kwann na Israel isibakie nyumbani watume Makombora km Iran!!!

Na mnataka tusiamini Iran ndio Super power wa Middle East✍️
Labda hawana hayo makombola.
Naona tu wanahangaika na ndege
 
😂😂 Hata huduma za jamii pia unaweza kuziexperience ukiwa google map(mtandao wa mu iran)

Ngoja tutabishane badae, naskia wanajeshi wa iran wanavaa ushungi ili kukiepuka kikombe cha mmarekan
Ubora wa huduma unaweza kuzungumzwa na kusifiwa hata mitandaoni, na tukapata kujua ubora wa huduma za kijamii za Nchi husika,

Mfano Nchi kama bluenei wengi wetu tunaijua sifa zake kwa kupitia mitandaoni Ubora wa huduma zake za kijamii na Kila kitu , mambo yapo wazi sana siku hizi mkuu labda uwe hutaki kutafuta maarifa
Response of Iran to Trump " Our fate can not be determined by an epstein gang".
🤣🤣
 
We jamaa huna tofauti na vunjo na KIPANYA kwenye ule uzi wa Russia vs Ukraine.
Utasikia, leo Ujraine wamechinja 3000 askari wa russia. Na upuuzi mwingine kama huo.
Hii vita kila upabde unachapika. Sema upande wa USA na Israel hatupewi habari za kutosha.
Yule jamaa ni chizi 🤣
 
Unaonesha kiasi gani elimu duni,hapo 'angu' umemaanisha nini?..nani alikwambia thamani ya sarafu huakisi ukubwa wa uchumi?
Someni kenge nyinyi,siyo mnakariri na kubweka tu madarasani
🤣
 
Mkuu sio kila makombora yakirushwa yanapiga. Kuna interception. Hata yayayopenya huwa sio yanapenya yote

Pili, hizi wave za leo zilikua na missiles chache(4, 5)
Wewe Tena msemaji mkuu wa Mossad 🤣🤣

Kila bomu linakutana na intercept 🙌
Kwanini ujikite kuwa negative na instead of kusema zitakuwa zinezuiwa na intercept ukubali tu kwamba missile zime hit target!?

Why uko negative Sana Mzee na mashambulizi ya Iran !?

Kongole sana mkuu
 
Huyo hata sources za kizushi ,unapoteza mda wako ,huyo habari zake anatoa telegram au Facebook. Leo vyombo vyote vya magharibi vimeripoti baadhi ya maaeneo ambayo mabomu yamehit ardhi ya myahudi, sasa hivi hata hayo mahandaki yanafumuliwa kishenzi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=iXUXeIHEVh4&pp=0gcJCY4Bo7VqN5tD

View: https://m.youtube.com/watch?v=URhMKCaLn9Y&pp=0gcJCa4KAYcqIYzv

View: https://m.youtube.com/watch?v=fIQzFdu6RC4

View: https://m.youtube.com/watch?v=dO_M3Lv8jMA

Hamna Tech ya kuzuia Cluster bombs.

View: https://m.youtube.com/watch?v=v55Jpj7jG34

So Iran hata akipiga mawili kwa siku inatosha, hata aliyekuwa kwenye handaki kwa sasa hayupo salama na hapo Iran anakuambia bado hajatumia sila zake bora.
 
Ubora wa huduma unaweza kuzungumzwa na kusifiwa hata mitandaoni, na tukapata kujua ubora wa huduma za kijamii za Nchi husika,

Mfano Nchi kama bluenei wengi wetu tunaijua sifa zake kwa kupitia mitandaoni Ubora wa huduma zake za kijamii na Kila kitu , mambo yapo wazi sana siku hizi mkuu labda uwe hutaki kutafuta maarifa

🤣🤣
MIMI SIELEWI YOYOTE MPAKA ANIAMBIE MTU ANAEISHI PALE, YANI UPO MPITIMBI HALAFU UNIAMBIE HABARI ZA U.S.A PALIVYO NA MAISHA YAKE KWA UJUMLA..? UMENICHUKULIAJE BRO, WEWE LABDA UNIELEMISHE KUHUSU PEMBEJEO NA BEI YA KIROBA CHA MKAA
 
Umeshawahi kufika USA !?
 
Back
Top Bottom