Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Seneta wa USA Chris Murphy, "Iran inaonekana kutuzidi nguvu na ujanja maana kila eneo la siri mashariki ya kati imeguswa".

Halafu watu wanaropoka nyenyenyinyonyunyunyuu eti Iran dhaifu.
Iran ni washenzi sana, kuna radar flani nimeona zimepigwa nadhani ni Qatar , yaani wamepiga radar zote za pembeni, wakabakiza moja 🤣 🤣 , ina maana itakuwa ana intel kazi ya zile radar zote.. itakua zile zingine ni za early warning ile imebakizwa labda sio threat kwao..

Kama wana intel za ndani kiasi hiko basi ni halali US atoe mlio.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la pakdasht
20260307_135215.jpg
 
Iran ni washenzi sana, kuna radar flani nimeona zimepigwa nadhani ni Qatar , yaani wamepiga radar zote za pembeni, wakabakiza moja 🤣 🤣 , ina maana itakuwa ana intel kazi ya zile radar zote.. itakua zile zingine ni za early warning ile imebakizwa labda sio threat kwao..

Kama wana intel za ndani kiasi hiko basi ni halali US atoe mlio.
Hao jamaa kwa vita achana nao.
We rejea vita ya Iraq-Iran war. Iran ilikua ikipokea kichapo kuanzia 1980 ila kufika 1985 game ikabadilika. Kwanza jamaa wana endurance ya hali ya juu.
Kuvumilia kichapo miaka zaidi ya mitano tena unachangiwa na mataifa matano makubwa sio utani.
Na baadae unapindua meza wewe ndio unaanza kutoa kichapo,hadi kinyago waliomtuma anaanza kuomba amani.
Hiyo nchi ndio uje uifananishe na hii takataka Israel!??
 
Dah simu yangu jau ila kuna video nimeiona aiseee hapana.
Zike cluster munition kuna moja ilitua Tel Aviv ika fail detonation.
Fire fighters waliposogea aisee mzigo ukakubali hadi magari yamebituka na maji yake.
Marandi ndio karusha hiyo video.
 
Sasa Israel na US mpango wao wa kupeleka ground forces ni kama unakufa..
Kurds wengi wamekataa kuisaidia Israel, na nadhani sababu kubwa ni yale Israel imefanya Gaza, japo Kurds wao wanasema wameshatumika sana na West lakini linapokuja suala lao kuwasaidia wapate nchi yao hawawasaidii..

Halafu kingine vikundi vingi hapo Iraq ambavyo vilikuwa havina nguvu kupiga kambi za US, hivi sasa wanatumia fursa... Nimeona hadi US base wametumia apache helicopter kupambana na hao jamaa...

Wakikaza hapo, kutakuwa hakuna namna bali kukimbia kambi, waa secure eneo na kutafuta extraction point then wana ruka na ndege..

Pia IRGC wanaweza ingia hapo Iraq..
 
Dah simu yangu jau ila kuna video nimeiona aiseee hapana.
Zike cluster munition kuna moja ilitua Tel Aviv ika fail detonation.
Fire fighters waliposogea aisee mzigo ukakubali hadi magari yamebituka na maji yake.
Marandi ndio karusha hiyo video.
Professor Marandi namkubali sana huyo mzee..
Hapo utakuta Iran wanaweka delay fuse makusudi na kimkakati, maana hivi sasa hao fire ndio wanajitia kila eneo wanazima moto.

Kwa staili hio Iran ikiendelea ina maana wataogopa kusogea...
 
Iran missiles city wameweka hadi mifumo ya kuzuia shockwave, ukipiga kombora mlangoni, kuna tunnels inafyonza ile shockwave isiingie ndani kuharibu makombora...
US na ISrael wana deal na watu ambao wap mbele ya muda..

Wanatengeneza fake radars zina emitt signal..
Wanasema missiles city zipo chini ya milima, wanasema hata upige kwa bunker buster yenye uweo mkubwa zaidi huwezi fikia missiles hizo.

Ingalikuwa ni rahisi, hata sasa US na ISrael wangesha haribu..
You nailed it, Leo nilikua napitia makala Moja hivi... Nikaona Iran milima Zagros and Alborz yenye Kilele Cha MITA 4000-5000 kwenda juu, then kwenye hiyo milima underground ndiyo wameweka bunker weapons ambayo inasemekana Mita 300 kwenda chini...

Nikawa najiuliza hapa hata Nuclear haiwezi ikatoboa kwenye hizo bunker ... GBU 57 ni Cha utoto kabsa kwa kwenye hizo Bunker...

Hapa Marekani atajitekenya mwisho atamwaga manyanga.
 
Mbona hujasema Dubai imeshambulia ?
Mkuu nafatilia zote Ila niliamua niweke humu zinazotokea Israel na Iran. Hata Israel ikishambulia Lebanon nazo nimeacha. Nimeconcentratw na kinachotokea ndani ya Israel na ndani ya Iran.
Lakini nitakua naweka za huko nje mara chache not regularly
 
You nailed it, Leo nilikua napitia makala Moja hivi... Nikaona Iran milima Zagros and Alborz yenye Kilele Cha MITA 4000-5000 kwenda juu, then kwenye hiyo milima underground ndiyo wameweka bunker weapons ambayo inasemekana Mita 300 kwenda chini...

Nikawa najiuliza hapa hata Nuclear haiwezi ikatoboa kwenye hizo bunker ... GBU 57 ni Cha utoto kabsa kwa kwenye hizo Bunker...

Hapa Marekani atajitekenya mwisho atamwaga manyanga.
Ongezea wanaweka concrete ngumu juu... halafu juu kuna miamba migumu..
GBU-57 inainga kwenye ardhi za kawaida mita 60 lakini kwa concerete ngumu ni mita 20...
 
Back
Top Bottom