City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Mashambulizi makubwa sana yanafanyika 👆
Mashambulizi makubwa sana yanafanyika 👆
🤣Huyu City Thunder OKC lazima ni jobless
Sawa mkuu ila kaa ujue siku zote kwenye ukweli uongo hua na tabia ya kujitenga.Drone unaishusha hata kwa gobole wewe. Anga limeshikwa hakuna mjadala.
Wewe unaonea wapi na upo umejibanza kijiji gani sijui huko ukipambana na mbu..Kati ya mambo ambayo yananinyima usingizi, moja wapo ni kuona Tel Aviv umeme unawaka!!!
Daaaaaah!