Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la refinery tondgouyan kusini mwa Tehran
Screenshot_20260307-215717_1.jpg
 
Huyo kafa shahed kwa mujibu wa dini yao, makamanda wengine hapo wanataka na wao wafe kama yeye...

Ambacho wengi hawajui, waislamu mwezi huu wa ramadhani kufa kama hivyo kama yupo kwenye funga na amekufa akiwa kwenye mapambano ina maana amekufa shaheed. Hapo hakuna hata huzuni baina yao.
Mkuu hskuns kiumbe kinachofurahi kifo usitutanie na ndio maana wakati mtangazaji wa TV ya taifa wa UmIran alikuwa analia wakati anatangaza kifo cha shujaa Ameney.
 
❗Iran’s parliament and its council of imams reject remarks by the country’s president suggesting Iran will no longer attack its Arab neighbors as part of the conflict with America and Israel.

According to parliamentary and religious leaders, Iran will continue to execute the policies of slain Supreme Leader Ali Khamenei and will strike neighboring states that host American military forces.
 
Back
Top Bottom