RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Eeh mkuu mbona umekuwa mkali tena 😀😀😀Ndo nini sasa na inahusiana nini na nilichoandika? Si kila MTU ni mtoto mwenzenu humu.
Eeh mkuu mbona umekuwa mkali tena 😀😀😀Ndo nini sasa na inahusiana nini na nilichoandika? Si kila MTU ni mtoto mwenzenu humu.
kwamba wale wenzio pro Iran waliposema wayahudi watakunywa maji chumvi walimaanisha Nini navipi UAE visima vyakeIran haikulenga vyanzo vya maji ya kunywa.
Iran cluster missiles zake ni advanced.
Trump administration is filled with fools and clowns🚨☠️ Trump blames Iran for bombing its own school
Asked whether the US had bombed a girls’ elementary school in southern Iran, killing 168 girls, Demented Donald lied that Iran did it to itself.
💬 “In my opinion, based on what I’ve seen, that was done by Iran,” Trump declared.
💬 "But the only side that targets civilians is Iran," Secretary of Warcrimes Pete Hegseth gloated doubling down.
Wanachosema Al Jazeera hakikinzani na alichosema Ze dudu tatizo lenu vichwa vyenu Tu vigumu kuelewa.AJ wanasema kuna internet blackout siju nane sasa. Ila unataka tukuamini wewe ambae uko in the middle of nowhere!
Tunachosema kuna internet blackout according to credible media sio mtu anaedai yuko Iran au mchambuzi alieko kusikojulikana.
yaani kuhusu cluster ndo usiseme kabisa maana Hilo nimekwambia linakuja kujibiwa mda. si mrefuIran haikulenga vyanzo vya maji ya kunywa.
Iran cluster missiles zake ni advanced.
Nachofahamu Iran hawaja shambulia miundo mbinu ya raia, lakini kwa hili US na Israel wamepeleka hii vita kwenye level nyingine.kwamba wale wenzio pro Iran waliposema wayahudi watakunywa maji chumvi walimaanisha Nini navipi UAE visima vyake
Sawa, hata wakijibu cluster ya Israel na US wanabeba na ndege vita kama F-15E, Iran anarusha chuma tani za kutosha..yaani kuhusu cluster ndo usiseme kabisa maana Hilo nimekwambia linakuja kujibiwa mda. si mrefu
Huwa simung'unyi maneno nikiwa sikuelewi naku ignore faster Tu, kuna watu ni wajinga, post zao ni "low effort" sababu wao ni wajinga wanataka na wenzao nao Wawe wajinga kama wao, so unapojichanganya nao mda mrefu hata uwezo wako wa kufikiri unashuka, JF wakatuwekea kitufe cha ignore, special kwa ajili ya watu hao.Eeh mkuu mbona umekuwa mkali tena 😀😀😀
Aisee nimeamini Trump ni muongo na hii vita anaiendesha kwa propaganda..💥💥💥💥.
Trump: sitaki wakurdi waingie vitani iran
Huyu si wa kumuamini tena.💥💥💥💥
Trump: jeshi la Iran halipo
yaani unamaanisha kwamba mzigo unaobebwa a b2 Ama b1 na b52 ni mzigo mdogo hizo fighter jet Wala haibebi bomu hiloSawa, hata wakijibu cluster ya Israel na US wanabeba na ndege vita kama F-15E, Iran anarusha chuma tani za kutosha..
Leta vitu mzeeeLeo namsaidia OKC
View attachment 3554587
Ngoja tusubiri mkuuAisee nimeamini Trump ni muongo na hii vita anaiendesha kwa propaganda..
Kila mmoja alijionea hapa kwamba Kurds wamekataa hio vita.. sasa anasema yeye ndiye hataki , wakati wamewabembeleza kurds wamekataa.. 🤣 🤣
Na ndio inavyotakiwa, mpaka mshike adabuNachofahamu Iran hawaja shambulia miundo mbinu ya raia, lakini kwa hili US na Israel wamepeleka hii vita kwenye level nyingine.
Subirini.