Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

✅ An Indian journalist who returned from Israel revealed a shocking truth:

Even shelters are not safe; people have been killed deep inside them. Iranian missiles sometimes strike without any warning sirens. The Israeli government blocks access to hospitals, hides the casualties, lies about the damage, and does not allow filming.

100 others Khaibar joseph1989 ITR baba-mwajuma RRONDO matunduizi
Israel ikubali tu hii vita imekurupuka aisee, kama misile inapiga hadi inachimba na kufumua shelter ina maana kuna miili ya watu hawatoiona.

Ngoja na wao wakutane na kile Israel ilikuwa inafanya Gaza.
 
Israel alisha aminisha watu na alishajiweka katika nafasi ya kwamba atalinda ardhi yake na raia wake kwa gharama yeyote ile.

Ila kwa kinachoendelea Israel sasa haina tofauti na Syria. Israel sio ya kupigwa inachakaa hivyo kama tulivyofundishwa sunday school. Israel ni taifa la Mungu. Ukiipinga Israel basi umempinga Mungu.
 
Israel na Marekani wameanza kupanic na kuanza kupiga miundo mbinu ya kiraia mpaka wameshambulia mitambo ya kusafisha maji chumvi alafu Netanyau ana simama na kusema eti ameenda kuwakomboa raia wa Iran,sasa huko ni kuwakomboa au ni kutaka wake na kiu?
 
Israel na Marekani wameanza kupanic na kuanza kupiga miundo mbinu ya kiraia mpaka wameshambulia mitambo ya kusafisha maji chumvi alafu Netanyau ana simama na kusema eti ameenda kuwakomboa raia wa Iran,sasa huko ni kuwakomboa au ni kutaka wake na kiu?
Nimetoka kusema hapa, US na Israel wametoka kwenye lengo la vita ambalo ni kufanya regime change na sasa wanafanya terror bombing.

Na ina maana gani?
1-Ina maana ya kuwa US na Israel wanajaribu ku pressure Iran isiendelee na hii vita, maana mazungumzo yameshindikana, wamefanya maamuzi magumu sana.

au

2-Wameshaona haitowezekana Iran kuweza kusimama hii vita kwa pressure ya mashambulizi hivyo wafanye mashambulizi kwa Iran kuiua kabisa kiuchumi na kuiharibu kabisa vibaya ili vita ikisimama huko mbele wote wawe wamepata hasara.

Kwanini wanafanya hivyo:

-Israel inazidi kuharibiwa, kumbuka Israel haijajengwa/hawajazoea/hawavumilii kupigwa kwa mashambulizi mazito kama hayo.

-Hezbollah wapo vitani, kitu kinachopelekea Israel igawanye nguvu.

-Interceptor zinazidi kuteketea tokana na kuzuia mashambulizi kutoka kwa Hezbollah na Iran.

-Iran imezuia tankers za US na Israel kutopita Hormuz. Hii itapelekea hali za nchi hizo kiuchumi kuwa mbaya.
 
20260308_002704.jpg
 
Back
Top Bottom