View: https://x.com/Osint613/status/2030396754886086859
Iran imeshakuwa Lebanon, wadau wanaingia na kutoka
Hamkumuelewa, jamaa alisema internet ya ndani ya Iran inafanya kazi, lakini hakuna access za apps kutoka nje kama x, facebook, whatsapp n.k...Kuna mtu humu alisema internet imezimwa Iran akashambuliwa sana
View attachment 3554584
Kuna internet blackout kwa siku 8bsasa hivi Iran hao ni Al Jazeera sasa tuwaamini AJ au some random guy claim to be in Iran?Hamkumuelewa, jamaa alisema internet ya ndani ya Iran inafanya kazi, lakini hakuna access za apps kutoka nje kama x, facebook, whatsapp n.k...
Akasema internet imekatwa kwa huduma nyingi za nje, lakini Iran wanawsiliana kama kawaida na hata wanatuma picha, wana aina yao ya whatsapp.
Mlipuko mdogo huo...Leo namsaidia OKC
View attachment 3554587
Wanaleta vi tweet vyao vya mchongo eti Tel Aviv imekuwa majivu! Iran hospitali zimezidiwa na Israel na US wanarusha mabomu tu hadi hospital zinaathirikawatasema AI au propaganda
Ina maana hukumbuki hata kama mwanzo wavita mlituonyesha chanzo Cha maji kule kwao kilipigwa na kombola la Iran na mkatuonesha kabsa na maji yalivyofurika mtaan pia hamkumbuki ha Jana TU Iran imeshambulia eneo la uzalishaji mafuta kule UAE mpaka wamesitisha uzalishaji niliwahi SEMA humu kama ni hujuma USA na Israel ni baba wa hujuma na bado Hilo la Bomu mtawanyo nalo linakuja kujibiwa. hatutoamini Hawa jamaa Kuna slaha Yao Moja matata hivi waliitumia kwa sadamu baada ya kuona wanajeshi wa sadamu wanawashambulia kutokea majumbani mwa watu na wakijibu yanatokea mauaji ya raia wa kawaida wakawa wanatumia Moja silaha Yao hivi ikipiga hapo sehemu ule moto wake unaunguza mpaka mifupa inakuwa jivu hapo ndo nikaona hao jamaa ni wahuni kuzidi. hiyo ya cluster Bomu mtawanyo waliitumia gulf war ile nahisi ilikuwa miaka 1990 hukoNimetoka kusema hapa, US na Israel wametoka kwenye lengo la vita ambalo ni kufanya regime change na sasa wanafanya terror bombing.
Na ina maana gani?
1-Ina maana ya kuwa US na Israel wanajaribu ku pressure Iran isiendelee na hii vita, maana mazungumzo yameshindikana, wamefanya maamuzi magumu sana.
au
2-Wameshaina haitowezekana Iran kuweza kuwa pressure waache vita ni ngumu hivyo wafanye mashambulizi kwa Iran kuiua kabisa kiuchumi na kuiharibu kabisa vibaya.
Kwanini wanafanya hivyo:
-Israel inazidi kuharibiwa, kumbuka Israel haijajengwa/hawajazoea/hawavumilii kupigwa kwa mashambulizi mazito kama hayo.
-Hezbollah wapo vitani, kitu kinachopelekea Israel igawanye nguvu.
-Interceptor zinazidi kuteketea tokana na kuzuia mashambulizi kutoka kwa Hezbollah na Iran.
-Iran imezuia tankers za US na Israel kutopita Hormuz. Hii itapelekea hali za nchi hizo kiuchumi kuwa mbaya.
Ila jamaa wagumu nyie kuelewa, jamaa wa watu kaelezea vizuri kinachoendelea huko, internet imeminywa huwezi access site za kimataifa kama FB, insta, twitter etc. ila local sites na baadhi ya site zilizochaguliwa unaweza akatoa mifano na Hadi ushahidi Imo inafanya KAZI, kuna app za movie na Hadi kustream mpira ameangalia.Kuna mtu humu alisema internet imezimwa Iran akashambuliwa sana
View attachment 3554584
Ila jamaa wagumu nyie kuelewa, jamaa wa watu kaelezea vizuri kinachoendelea huko, internet imeminywa huwezi access site za kimataifa kama FB, insta, twitter etc. ila local sites na baadhi ya site zilizochaguliwa unaweza akatoa mifano na Hadi ushahidi Imo inafanya KAZI, kuna app za movie na Hadi kustream mpira ameangalia.
Iran walitengeneza kitu wanaita National Information Network (NIN).Kuna internet blackout kwa siku 8bsasa hivi Iran hao ni Al Jazeera sasa tuwaamini AJ au some random guy claim to be in Iran?
AJ wanasema kuna internet blackout siju nane sasa. Ila unataka tukuamini wewe ambae uko in the middle of nowhere!Ila jamaa wagumu nyie kuelewa, jamaa wa watu kaelezea vizuri kinachoendelea huko, internet imeminywa huwezi access site za kimataifa kama FB, insta, twitter etc. ila local sites na baadhi ya site zilizochaguliwa unaweza akatoa mifano na Hadi ushahidi Imo inafanya KAZI, kuna app za movie na Hadi kustream mpira ameangalia.
Sawa.Iran walitengeneza kitu wanaita National Information Network (NIN).
Ni kama domestic internet, lakini wamekata hio global internet..
Wanaendelea kutumia chat apps za Iran, government websites n.k... picha wanatuma n.k
Iran wana level tatu za Internet.
Wana global internet.
Wana National internet , hii inafanya kazi ndani ya Iran.
Wana government internet.
Labda nikupe mfano, unaporusha file la picha ama video kutoka simu moja kwenda nyingine kwa kutumia Xender hio tayari ni local network, maana xender inatumia wi-fi...
Hivyo Iran wana servers ndani ya nchi yao inawawezesha na matumizi ya internet katika national level not global... kuna wanaojitahidi ku bypass kwa VPN, proxy n.k ...
Hili nimeigia sites za Iran wameandika kwa KiPersia mwenyewe nimesoma nika translate kwa google, ni kweli jamaa alichosema.
Iran haikulenga vyanzo vya maji ya kunywa.Ina maana hukumbuki hata kama mwanzo wavita mlituonyesha chanzo Cha maji kule kwao kilipigwa na kombola la Iran na mkatuonesha kabsa na maji yalivyofurika mtaan pia hamkumbuki ha Jana TU Iran imeshambulia eneo la uzalishaji mafuta kule UAE mpaka wamesitisha uzalishaji niliwahi SEMA humu kama ni hujuma USA na Israel ni baba wa hujuma na bado Hilo la Bomu mtawanyo nalo linakuja kujibiwa. hatutoamini Hawa jamaa Kuna slaha Yao Moja matata hivi waliitumia kwa sadamu baada ya kuona wanajeshi wa sadamu wanawashambulia kutokea majumbani mwa watu na wakijibu yanatokea mauaji ya raia wa kawaida wakawa wanatumia Moja silaha Yao hivi ikipiga hapo sehemu ule moto wake unaunguza mpaka mifupa inakuwa jivu hapo ndo nikaona hao jamaa ni wahuni kuzidi. hiyo ya cluster Bomu mtawanyo waliitumia gulf war ile nahisi ilikuwa miaka 1990 huko