Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Watu wananifata inbox wananitukana eti niache kuleta nukuu za gaidi Ayatollah khamenei 😁😁
mbna hamna uvumilivu ndugu zangu
mbna hamna uvumilivu ndugu zangu
Hii phase ya pili ya hii vita ni mbaya huwezi fananisha oil refinery na meli ya mafuta na kwa usalama huwezi ruhusu meli hasa za maadui zako huwezi jua wana intention gani. Kuna rumours Iran anaplan kupiga chanzo cha kuzalisha umeme wa nuclear cha Israel nazani uliona series ya Chernobly ya Urusi wakati wakitest cooling system ktk nuclear sites na Iran uwezo huo wanao kwani Cluster Bombs walizorusha juzi hamna hata moja iliyokuwa intercepted.Iran anashambulia kila siku meli za mafuta anajisifu, yeye refinery zake zimeguswa tu kidogo anaanza kutoa miguno anaumia 🤭
Mbona unajitekenya mwenyewe Kuna mtu gani mwenye akili timamu akufuate wewe kipa katoka golini ?Watu wananifata inbox wananitukana eti niache kuleta nukuu za gaidi Ayatollah khamenei 😁😁
mbna hamna uvumilivu ndugu zangu
Zitabaki kuwa tetesi tu na maneno ya faraja kwa pro iran kwa sasa Iran ishatepeta haina tena ubavu huoHii phase ya pili ya hii vita ni mbaya huwezi fananisha oil refinery na meli ya mafuta na kwa usalama huwezi ruhusu meli hasa za maadui zako huwezi jua wana intention gani. Kuna rumours Iran anaplan kupiga chanzo cha kuzalisha umeme wa nuclear cha Israel nazani uliona series ya Chernobly ya Urusi wakati wakitest cooling system ktk nuclear sites na Iran uwezo huo wanao kwani Cluster Bombs walizorusha juzi hamna hata moja iliyokuwa intercepted.
Tunaingia phase ya pili ambayo ni mbaya sana, tegemea mpaka vyanzo vya maji kulipuliwa.
Sio tetesi sites zinajulikana na kuonekana kila siku ni easy kuwa targeted,sio maghala ya silaha haya au sites za kijeshi ambazo nyingi ni confidential.Zitabaki kuwa tetesi tu na maneno ya faraja kwa pro iran kwa sasa Iran ishatepeta haina tena ubavu huo
Israel analipua miundo mbinu ya nishati ya Iran na anasema kabisaa kwamba kuna suprises nyingi mnoo zinakuja. Yaan ukisoma namna pro Iran wanavyoisifia Iran kwa habari na Picha/video za AI na vyanzo vya habari kama SnS na Dj sama then ukifuatilia vyanzo vya habari vya uhakika basi unaona kabisaa Iran keshashindwa hii vita any time mama Iran anakata roho maana kwa sasa mama Iran anakoroma mikoromo ya mwisho mwisho ile ya kukata roho.Pro iran humu kwa kujifariji hawajambo.
Maneno ya mfamaji maji hayo si azilipue sasa anangoja nini?Sio tetesi sites zinajulikana na kuonekana kila siku ni easy kuwa targeted,sio maghala ya silaha haya au sites za kijeshi ambazo nyingi ni
Iran ameshapoteza vita..Kilichobaki ni ama kusalimu amri au kuacha nchi yao ibaki magofu kama Ghaza.Pro iran humu kwa kujifariji hawajambo.
Iran keshatepeta now yupo chali mlalo wa kifo cha mende Israel, US now wanafanya finishing na kibaya zaidi now anazidi pigwa mtungo maana UK naye katoa base yake itumike na US na hii vita si mchina, mrusi, n.k anayethubutu kuingiza pua yake maana wanamjua Trump hacheki na kima.Iran ameshapoteza vita..Kilichobaki ni ama kusalimu amri au kuacha nchi yao ibaki magofu kama Ghaza.
Watu ni wagumu kukubali ukweli..Hivi mtu anga lako lipo uchi wa mbuzi,adui anajipigia tu anavyotaka na wewe unarudisha kwa kurusha vikombora vitano kwa siku.Hapo kama sio teke la mwisho la punda anayekata roho ni nini?Iran keshatepeta now yupo chali mlalo wa kifo cha mende Israel, US now wanafanya finishing na kibaya zaidi now anazidi pigwa mtungo maana UK naye katoa base yake itumike na US na hii vita si mchina, mrusi, n.k anayethubutu kuingiza pua yake maana wanamjua Trump hacheki na kima.
Ayatollah alikuwa mpumbavu yeye alifikiri anaweza shindana na US na Israel huku kinajificha kwenye bunker leo kipo wapi kauliwa ka mbwa mwizi now yupo kuzimu na utawala wake ushaanguka.
Kaua maelfu ya wairan wasio na hatia kwa tamaa zake za kishenzi za madaraka
Jiwe walilolikataa waashi ndio limekuwa jiwe kuu la pembeni.Hiyo miji iko kwenye Biblia lakini Israel siyo nchi ya wakristo. Ukristo ulianzishwa na mitume wa Yesu,na haukukubalika tangu mwanzo ndio maana hao mitume walipitia mateso makali ikiwemo kuuwawa mfano Stefano. Baada ya kuwa Ukristo haukubaliki nchini Israel,mitume waliamua kupeleka injili sehemu nyingine ikiwemo maeneo ya Ulaya ya leo kama vile Ugiriki na Italia. Ndio maana makao makuu ya Kanisa Katoliki yako Roma - Italia na sio Israel. Ndio maana hata nyaraka za Paulo ziliandikwa kwa wakazi wa maeneo ambayo yapo Ulaya ( Efeso,Korinto,Filipi,Thesalonike) na sio maeneo ya Waisrael. Ingawa kuna Waraka kwa Waebrania ambao haujulikani hasa uliandikwa na nani lakini Paulo alikubalika kwa watu wengine nje ya Israel tofauti na alivyokubalika na Waisrael wenzake. Hadi leo,Israel imeukataa Ukristo na sio nchi ya Kikristo. Ila Mkristo akiamua kutembelea maeneo matakatifu yaliyotajwa kwenye Biblia,serikali ya Israel haikatazi
Maneno ya mfamaji maji hayo si azilipue sasa anangoja nini?
Oil Refinery ya Israel ,imelipuliwa habari imeripotiwa dk 37 zilizopita,nazani umepata majibu.Maneno ya mfamaji maji hayo si azilipue sasa anangoja nini?
LetaWatu wananifata inbox wananitukana eti niache kuleta nukuu za gaidi Ayatollah khamenei 😁😁
mbna hamna uvumilivu ndugu zangu
Oil Refinery ya Israel ,imelipuliwa habari imeripotiwa dk 37 zilizopita,nazani umepata majibu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=kfy-qXcnYFA
Ukraine na Russia wote wana vyanzo vya nuclear ushajiuliza pamoja na kupigana kwao why hawagusi hayo maeneo?Ila hii vita sitoshangaa wakizilipua haya Iran kishalipiza.