gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Muislam anayeuelewa uislam hawezi kuwa mkristo, yaani aache kuabudu Mungu mmoja muumba wa kila kitu aende akamuabudu fundi seremala!?Idadi kubwa ya Waislamu wanaobadili dini na kuwa Wakristo nchini Iran inakadiriwa kuwa kati ya 300,000 hadi 500,000 kulingana na vyanzo mbalimbali. Makadirio mengine yanaweka idadi hiyo kati ya 800,000 hadi milioni 3.
Kwa mujibu wa msomi Ladan Boroumand, “Iran kwa sasa inashuhudia kiwango cha juu zaidi cha watu kuingia Ukristo duniani.”
Kumechangamka