Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Dr. Sule ndio nani??
Mbona unashindwa kutumia akili unazidi kuropoka?

John F. Kennedy rais wa zamani wa USA aliuawa,je USA ni dhaifu!??
Naomba jibu tafadhali.

Kama serikali ya Iran dhaifu kwanini Trump ameshindwa kuiangamiza hadi sasa!??
Je regime change imefanikiwa Iran??

Nataka majibu kama mtu mzima usiniletee majibu ya kihanithi.
Wakati anauawa Kennedy Usa alikua kwenye vita na nchi gani.

Hii vita sio ndogo iran naye alijipanga ila ndio hivyo hawezi toboa na regieme change ndio lengo kuu la israel na usa.

Jiandae kwa hashatag za Pray for iran mana tayari ameshalegea hadi anaanza kuomba msamaha mapema.
 
Mkuu unaambiwa hivi mazayuni wanapigika vibaya mno na kama wasingekua wananaminya taarifa sijui tu ingekuaje lakini pia kulikua na tetesi za IRGC kutaka kumua Netanyahu maana mpaka mda huu Iran Ana idadi kubwa ya location za bunker za ndani ya isreal. Ndioo maana alivyozipiga ilikua ni kuwapa onyo na ujumbe sio tu kwa raia bali viongozi kuwa humo wanapojificha sio salama.
Ni mjinga pekee atakayeamini hili,yani adui aliyekuulia viongozo wako,umejua alipo ila unapige pengine eti kutoa warning?

Kiufupi irani ni hamnazo ndio mana karusha makombora hovyo bila specifica target,usa na israel kwa sasa wanatamba tu ndani ya anga la irani bila kizuizi mana iran kalegea amebaki kumalizwa tu.
 
Kwa wajuvi wa mambo ya vita na wasomi wanaoelewa dhana ya silaha ya nyuklia, ni kwanini Iran inazuiwa kumilki silaha za nyuklia wakati nchi nyingine zinamiliki ilhali matumizi lengwa ni nyakati za uchokozi/vita kama hivi? Inasemekana Israel ana makombora ya nyuklia kuanzia 75 hadi 400 ndani kwake, je akizidiwa hawezi kuyatumia kwa mazingira ya vita yanayaoendelea? Korea ya kaskazini na Pakistani ni miongoni mwa mataifa yaliyokuwa na vikwazo vya kumiliki silaha za nyuklia ila kwa sasa wanamiliki, je hii inatoa picha gani kwa katazo analowekewa Iran kumiliki silaha hizo?
 
Mkishafuturu tu mnakosa akili

Israel kills dozens in Lebanon after failed mission to find pilot’s remains​


Commandos started digging up grave thought to be of famous IDF pilot, leading to gunfight followed by airstrikes

Two Israeli helicopters
landed outside the towns of Nabi Chit and Khraibeh along the Syrian-Lebanese border in the eastern Bekaa valley.

The Lebanese army detected the incursion and launched flares over the Israeli helicopters, a Lebanese army statement said, leading to a gun battle between Israeli forces, local residents and Hezbollah fighters.


Nb:Jaribu kutumia lugha nzuri na zenye staha unapotaka kujenga hoja. Unafikiri wewe ndiyo unajua matusi, kejeli na kebehi???
 
The Trump administration has used emergency authority to bypass Congress and fast track a weapons sale to Israel worth around $650 million. Secretary of State Marco Rubio said an emergency justified waiving the usual congressional review process.

The package includes 12,000 BLU-110 1,000 pound bomb bodies, BLU-111 500 pound general purpose bombs added through an amendment to a previous sale, and an additional $298 million in critical munitions that Israel will purchase through direct commercial sales.
 
US anatafuta sababu tu.
US bases zake middle east zilikuwa zinajulikana hapo kuna intel gani Russia kampa Iran?

Trump tatizo anataka kuaminisha watu Iran haina uwezo kupiga bases zake middle east...

Kifo cha Suleiman, Iran alilipa kwa kulenga kambi mbili za US pale Iraq, je na hapo walipewa intel? Iran tayari anamiliki precision missiles. Kwa hilo tu inaonyesha Iran ilishajipanga toka zamani.
Kingine kauli ya Iran kusema itapiga kambi zote za US middle east ni toka zamani na anasema hilo mara kwa mara.

12 days war Iran ilionyesha tu ina uwezo wa kurusha missiles kwenye bases za US.

Hivyo Trump na magaidi wenzake wanaona haya kupigwa na taifa kama Iran wanaanza kufanya propaganda kuionyesha dunia Iran haina uwezo kulenga bases zake. Wanaionyesha dunia kwamba Iran inashirikiana na Russia, wanaona aibu kuona nchi kama Iran inahimili US na Israel.

Ndio hivyo inabidi wakubali kwamba ukubwa wa pua ........

US hii vita hadi sasa amedharaulika, na anajitutumua kwa nguvu zote aonekane mshindi, kupiga oil depot ni ukichaa, wala si hata la kusifu. Naamini kwa phase inayofuata Israel itapiga mwano.
 
Wakati anauawa Kennedy Usa alikua kwenye vita na nchi gani.

Hii vita sio ndogo iran naye alijipanga ila ndio hivyo hawezi toboa na regieme change ndio lengo kuu la israel na usa.

Jiandae kwa hashatag za Pray for iran mana tayari ameshalegea hadi anaanza kuomba msamaha mapema.
Context ni KIONGOZI KUULIWA. Kheri huyo ameuliwa vitani kuliko Kennedy aliyekuwa easy assassinated.

Hakuna pahala Iran imeomba msamaha,na hakuna pahala Iran imeishiwa nguvu nadhani ungeenda kumsikiliza MS.WARREN NA MR. CHRIS MURPHY wakuelezee uhalisia namna USA alivyogeuka kuwa paranoid ili kusave face.
Regime change failed.
Kila balozi imepigwa moto.
Kila kambi inepigwa moto.
Ripoti za leo asubuhi zinadai 7 EXPENSIVE RADARS ZA USA zimepigwa kibiriti.
Wewe endelea kuongea utumbo hapo ilhali USA wenyewe wanadai kuingia choo cha mabinti.
 
Ni mjinga pekee atakayeamini hili,yani adui aliyekuulia viongozo wako,umejua alipo ila unapige pengine eti kutoa warning?

Kiufupi irani ni hamnazo ndio mana karusha makombora hovyo bila specifica target,usa na israel kwa sasa wanatamba tu ndani ya anga la irani bila kizuizi mana iran kalegea amebaki kumalizwa tu.
-Kambi zake middle east ikiwemo Manam ni target ya hovyo?
-Balozi zake middle east zilizolipuliwa mathalan ya Riyadh ni target za hovyo?
-Kambi yake ya Erbil iliyolipuliwa ni target ya hovyo?
-SEVEN EXPENSIVE RADARS zilizolipuliwa ni target za hovyo??

Kijana USA wakikusikia watakulawiti wima wima. Wacha kuropoka.
 
HAdi sasa kwenye hii vita Iran ndiye anaendelea kufanikisha malengo yake.

Regime change imefeli.
Kuharibu mpango wa nuclear umefeli pia.
KUipunguza Iran kumiliki missiles imefeli.

Kupiga oil depot na miundo mbinu ya mafuta ndio ilikuwa target waliyobakiza na waliamini ndio kama K.O, maana underground missiles wamezunguka wakaona wanapoteza muda, kila siku Israel inakula chuma.

Sasa inaonekana wazi oil depot si target itakayoifanya Iran kusimama vita, Iran inakwenda phase nyingine, sasa ni kupiga miundo mbinu ya kiraia nchini Israel wazayuni waanze kuishi kama Mazombie.
 
Back
Top Bottom