Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Launcher zinaishaje hali ya kuwa ni ma lorry yamebeba vyuma, hivi unaelewa launcher kiongozi.. au umekariri..
Kitu cha thamani ni missile sio launcher...

Iran haiwezi kuishiwa missiles wala launcher hilo sahau.. 12 days war kauli zilikuwa hiz hizi.

Kuna ile unaandika unataka udhihiridhe mahaba yako kwa Israel, huna fact, huamini unachokisema, basi unatunga tu... maneno matupu, utasema umefika sites za IRGC ukaona hawana launcher..

Iran wanaweza ishiwa missiles lakini sio launcher..
Kwamba hizo lauchers hazilipuki Kwa mabomu sio
unafikiri ni malori ya kubebe mchanga unaweza kulibeba TU kombora
 
UAE STRIKES IRAN FOR THE FIRST TIMEUnited Arab Emirates has carried out a strike on Iranian territory, targeting an Iranian desalination facility.

UAE kaingia vitani
 
Kwamba hizo lauchers hazilipuki Kwa mabomu sio
unafikiri ni malori ya kubebe mchanga unaweza kulibeba TU kombora
Kombora lina thamani kuliko launcher kiongozi, kama ulikuwa hufahamu basi fahamu hilo, launcher sikitu cha kujivunia eti umeziharibu, hao wana utitiri wa launchers.

Na wanaweza tengeneza launchers muda wowote, viwanda vyao vya silaha vipo waneendelea na uzalishaji chini ya ardhi. Makamanda wa Iran ndio wanasema, na wanasema hadi sasa silaha latest waliyotumia ni ya 2014.
 
UAE STRIKES IRAN FOR THE FIRST TIMEUnited Arab Emirates has carried out a strike on Iranian territory, targeting an Iranian desalination facility.

UAE kaingia vitani
Ndo unaona kwanini Iran tuipinga isimiliki nuclear
Kumiliki TU makombora kashashambulia majirani zake wote
 
Kwa hiyo unaijua Iran
Kuliko Mamilion ya wa Iran waliondama
Hizi ni hoja pale unazidiwa, nyie wengi wenu facts hamna, mmejaa mahaba tu. Kuandika tu "Ayatollah ni gaidi" mo chap, lakini wengi wenu si wafuatiliaji wa siasa za mashariki ya kati na ni wafuata mkumbo.

Mara nyingi chuki zenu dhidi ya Iran zinafungamana na masuala ya udini na chuki binafsi.
 
Ndo unaona kwanini Iran tuipinga isimiliki nuclear
Kumiliki TU makombora kashashambulia majirani zake wote
Katika nchi ambayo middle east wanapaswa na wana sifa za kumiliki nuclear ni Iran. si Israel wala nchi zingine.

Iran ana sifa zote za kumiliki nuclear,Iran wana uwezo wa hali ya juu ku control emotions zao, hilo limeonekana kwa miaka mingi Israel ikiua wanasayansi wake, viongozi wa kisiasa na makamanda wa jeshi, ingekuwa Israel ingeshatumia nuclear.

Israel imepiga Gaza kwa silaha inayosadikika ni nusu ya nuclear.. hao washeni hata hii vita wakizidiwa watapiga nuclear.

Magaidi wanaoua watu 70K na watoto maelfu, hivi unaelewa Gaza bombs zilizoshushwa

Unafahamu Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima?

​

 
Kwa wajuvi wa mambo ya vita na wasomi wanaoelewa dhana ya silaha ya nyuklia, ni kwanini Iran inazuiwa kumilki silaha za nyuklia wakati nchi nyingine zinamiliki ilhali matumizi lengwa ni nyakati za uchokozi/vita kama hivi? Inasemekana Israel ana makombora ya nyuklia kuanzia 75 hadi 400 ndani kwake, je akizidiwa hawezi kuyatumia kwa mazingira ya vita yanayaoendelea? Korea ya kaskazini na Pakistani ni miongoni mwa mataifa yaliyokuwa na vikwazo vya kumiliki silaha za nyuklia ila kwa sasa wanamiliki, je hii inatoa picha gani kwa katazo analowekewa Iran kumiliki silaha hizo?
Halafu Myahudi alikataa kukaguliwa na IAEA.IAEA wameaikagua Iran mara nyingi hawakuwakuta na hizo silaha za Nuclear. Iran angekuwa na mabomu ya Nuclear leo hii tusingekuwa na hii vita,US na Myahudi wasinge sogeza pua.

View: https://m.youtube.com/watch?v=6Knt3rKTqCk&pp=ygUnZ2VuZXJhbCBjbGFyayB3YXQgd2l0aCBzZXZlbiBjb3VudHJpZXMg
Iran inapigwa sababu ni moja ya mpango wa US na Myahudi na waliplan hiki kitu miaka zaidi ya ishirini iliyopita kwamba wataingia vitani na nchi saba zikiwemo Iraq,Syria,Libya,Yemen,Iran,Somalia,Lebanon na zote zimepigwa. Huu mpango alipewa General Clark aliyekuwa mkuu wa vikosi vya NATO, alimuuliza Secretary of Defence nini sababu ya kuzivamia hizi nchi akaambiwa yeye hatakiwi kujua sababu bali atekeleze.


View: https://m.youtube.com/watch?v=6Knt3rKTqCk&pp=ygUnZ2VuZXJhbCBjbGFyayB3YXQgd2l0aCBzZXZlbiBjb3VudHJpZXMg
So hata ukiwasikiliza maafisa wa jeshi wa Kiyahudi akiwemo mmoja wa msemaji wao Lipkin wanadai Lebanon ni yao,Misri kuna kasehemu wandai cha kwao,nusu ya Saudi Arabia zikiwemo Maka na Madina ni zao, Jordan ni yao,Syria nusu ni yao then Uturuki kuna kipande wanadai ni cha kwao.

View: https://m.youtube.com/shorts/WERJ_xXhaeQ
Ukimsikiliza aliyekuwa waziri mkuu Naftali Bennett, anakwambia Turkey ni new Iran na Qatar anahatarisha usalama wao.

View: https://m.youtube.com/shorts/kaOWgujCHtA
So ukitizama trend kuna vita zitakazo fuatia baada ya hii ya Iran ni Qatar, Misri, Turkey na Saudi Arabia zijiandae. So Myahudi anaamini hiyo yote ni ardhi yao na wanataka kuirudisha kwenye himaya zao, so yoyote atakayekuwa kikwazo watadeal nae ndio maana wanadeal na Iran sababu wanaona ni kikwazo kwa mipango yao.

Hizi sijui ugaidi, wananchi wanapata tabu,sijui hamna demokrasia ni kuficha mipango yao haramu juu ya hizo nchi.
 
Maelezo ya nini wakati picha na video zimejaa mtandaoni
Tatizo la Ayatollah lilikuwa hili hili la maelezo mengi bila vitendo vya maana
Huna facts wala hoja..
Video ndio hoja, we jamaa uwezo wako napata mashaka..
Yaani nakuuliza US na Israel wamefanikiwa lip kwenye hii vita unaniambia nitazame video? are you serious?
Videos wakilenga watoto wa shule wadogo 165 wakiwa shuleni ? ndio mafanikio hayo..

Nielezee kwanza katika malengo ya hii vita wamefanikisha lipi?
 
Kombora lina thamani kuliko launcher kiongozi, kama ulikuwa hufahamu basi fahamu hilo, launcher sikitu cha kujivunia eti umeziharibu, hao wana utitiri wa launchers.

Na wanaweza tengeneza launchers muda wowote, viwanda vyao vya silaha vipo waneendelea na uzalishaji chini ya ardhi. Makamanda wa Iran ndio wanasema, na wanasema hadi sasa silaha latest waliyotumia ni ya 2014.
Source?
 
Iran maisha yalikuwa rahisi pamoja na vikwazo, maisha rahisi kuliko Tanzania
Metro ya Iran
Pause-at-the-Platform-A-Tehran-Metro-Scene-scaled.webp

Nauli ni baina ya Sh 70 na 400, na urefu wa trip ni Hadi km 50-69, Dar Bagamoyo hiyo unapanda treni ya kisasa kwa sh zisizozidi 400.
 
UAE strikes Iran for the first time in the conflict

The UAE targeted an Iranian desalination facility, Ynet reports. Israeli assessments describe the strike as a signal to the regime, with officials warning that if Iranian attacks escalate, the UAE could join the campaign in a limited capacity.
 
Back
Top Bottom