City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Iran imeshanbulia kwa makombora eneo la bbei brak Israel
Iran imeshanbulia kwa makombora eneo la bbei brak Israel
Hadi sasa waliopoteza ni US na Israel si Iran, lakini kuna mistake Iran inafanya lazima niseme ukweli, mimi siongei kwa mahaba kama ninyi, nazungumza ukweli.Kana ndio uwezo mdogo wafanyaje? By the way naona akili zinaanza kukurudi ushaanza kujua kuwa Iran kashatepeta.
Safari hii mpaka mmalize visingizio vyote kipigo kiko palepale!!!!!!!Napata mashaka hao walengaji walioko kwenye kitengo cha kupiga missiles wana agenda ipi, wachunguzwe isije kuwa ni mapandikizi.. maana inatia mashaka na maswali. Hadi sasa hakukupaswa kuwe na airport yeyote ama bandari inayofanya kazi Israel
Iran inaacha kupiga Dimona, inaacha kupiga airports zote za Israel zisifanye kazi, inaacha kupiga bunge la Israel, makao makuu, vituo vya polisi.. ofisi za serikali, vituo vya polisi... ,wanashindwa kuzitafuta aircraft carrier za US popote zilipo wazitumie mamia ya drones na missiles mpaka zikimbie na kupotea na kuzidiwa...
Kuna ujinga flani wanafanya.
Waache ku focus na hao waarabu wa gulf states, rais alikuwa sahihi, waache ujinga huo.
Hadi sasa waliopoteza ni US na Israel si Iran, lakini kuna mistake Iran inafanya lazima niseme ukweli, mimi siongei kwa mahaba kama ninyi, nazungumza ukweli.
Israel ipo kwenye hali mbaya.
Regime change ni impossibleHilo walishalisema kuwa wanashambulia Polisi Stations ili kuwapa njia waandamanaji,jana tuu mkuu wa Polisi wa Tehran kauliwa.
Watakataa tena kimsboy hii picha kapiga mmeo? Maana umetuaminisha israel ukipiga picha unapigwa risasi!!💥💥💥💥
Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv
![]()
100 others ITR King faisal Hawa ndiowatu mnasema wamekatazwa wasichukue habari?
Unajitahidi kuongea fact endelea mkuuHao madogo wanaorusha missiles ni was3ng3...
Kulikuwa hakuna haja kupiga mitambo ya kusafisha maji chumvi ya UAE, rais aliwaambia kabisa inatosha kulenga gulf states, lakini walivyo wapuuzi wameendelea na sasa UAE haina budi bali kujibu.
Iran kuiharibu UAE haina faida yeyote kwake...
UAE inaweza ikaharibiwa ndani ya siku 4 tokana na jinsi imejengwa...
Hao madogo was3ng3 watolewe hapo kitengo cha kurusha missiles..
Wakamatwe wapigwe lock up...
AU ni Israel wamefanya mashambulizi ili kuiingiza Iran vitani na majirani? maana Israel inazidiwa na Hezbollah kule.. Dah kama ni Iran wamezingua sana...
Kwamba comment ya FB ina uzito Sawa na Rubio? Sawa.Na hawa wa imani moja je
Humu Kuna watu wananisikitisha sana. Huyu hapa anarecord kabisa. Lakini watu wanakwambia watu Israel hawaruhusiwi kurecordWatakataa tena kimsboy hii picha kapiga mmeo? Maana umetuaminisha israel ukipiga picha unapigwa risasi!!
Hata tulipokuambia Gaidi Ayatolla Ali Khamenei Artie maji hizo ndevu ilisema is impossible wana wa Israel wakaamua kumnyoa kavu!!!Regime change ni impossible
Mkuu unabishana na Waandishi wa habari ambao walikuwa Israel?💥💥💥💥
Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv. Mkuu 100 others King faisal ITR Hawa watu ambao wanarecord matukio hivi wazi sehemu iliyopigwa, ndio mnasemaga wamekatazwa kurecord?
View attachment 3554923
Imeamua kuwafundisha wana wa Israel kazi?Katika siku Tel Aviv itapigwa nadhani ni leo..
Leo Iran inashambulia non-stop...
US na Israel nao ni was3ng3, we unalengaje miunndo mbinu ya mafuta?