Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nukuu za gaidi Ayatollah khamenei

Mtukufu imamu ussein alikuwa mwasilam Bora penginie kuliko hata mwamed mwenyewe ninafurah kwasabab yeye ndiyr ataenipokea siku ya kiama akinigawia wale 72 😁😁
 
Hii post mbona umeandika ukafuta, ulitaka u post kule MMU mkuu? au umechanganya na ID nyingine..
View attachment 3554938
Tayari umeshaanza ku-edit post za watu na kuandika ujinga wako hii haitakusaidia hata haiwezi kumsaidia Iran asipigwe!!!

Khanji kapoor asikuvunje moyo mjinga huyu kazoo a ku-edit post za watu na kuandika upuuzi wako. Wewe endelea tu kutupa Nukuu za Gaidi Marehemu Ayatollah Ali Khamenei
 
Tayari umeshaanza ku-edit post za watu na kuandika ujinga wako hii haitakusaidia hata haiwezi kumsaidia Iran asipigwe!!!

Khanji kapoor asikuvunje moyo mjinga huyu kazoo a ku-edit post za watu na kuandika upuuzi wako. Wewe endelea tu kutupa Nukuu za Gaidi Marehemu Ayatollah Ali Khamenei
Ndio maana sijamjibu najua nukuu zinawachoma wanataman wapige bomu Jf

Ukishaamini yale maandishi lzm mnara ucheze😁😁
 
Katika siku Tel Aviv itapigwa nadhani ni leo..
Leo Iran inashambulia non-stop...
US na Israel nao ni was3ng3, we unalengaje miunndo mbinu ya mafuta?
Hapo Iran anarudishwa kwenye Ujima,baada ya vita watakula hizo missile na Drones.
 
Napata mashaka hao walengaji walioko kwenye kitengo cha kupiga missiles wana agenda ipi, wachunguzwe isije kuwa ni mapandikizi.. maana inatia mashaka na maswali. Hadi sasa hakukupaswa kuwe na airport yeyote ama bandari inayofanya kazi Israel


Iran inaacha kupiga Dimona, inaacha kupiga airports zote za Israel zisifanye kazi, inaacha kupiga bunge la Israel, makao makuu, vituo vya polisi.. ofisi za serikali, vituo vya polisi... ,wanashindwa kuzitafuta aircraft carrier za US popote zilipo wazitumie mamia ya drones na missiles mpaka zikimbie na kupotea na kuzidiwa...

Kuna ujinga flani wanafanya.

Waache ku focus na hao waarabu wa gulf states, rais alikuwa sahihi, waache ujinga huo.
Sasa mkuu hata kama watalenga hizo target sisi huku tutajuaje hali ya kuwa wamedhibiti habari zote kutoka?
Alafu sio lazima kila kitakacho fanywa na Israel na Marekani Marekani ni lazima na Iran afanye hivyo kwa sababu kila nchi ina mikakati yake na mkakati kuhusu hii kutokana na akiba yake ya silaha.
Na mkakati wa Iran kwenye hii vita sio kupiga kila kitu kwa sababu hawana silaha za kuchezea kama Israel na Marekani ambao wanapiga mpaka michoro.
Iran anatumia silaha kwa bajeti hivyo hawezi kupiga vitu ambavyo anajua kuwa hata akipiga havitabadilisha lolote kwenye uwanja kwa vita mfano Iran alishambulie bunge au vituo vya polisi itabadili nn kwenye uwanja wa vita zaidi ya kuchezea silaha?,Israel inachezea silaha itakavyo kwa sababu akiishiwa zipo nchi kibao zitakazo msaidia kitu ambacho ni tofauti kwa Iran.
Alafu hii vita ni ya muda mlefu inahitaji mikakati kuipigana na sio mihemko ukileta mihemko utajikuta silaha zina kuishia alafu ndo unashughulikiwa vizuri sasa.
 
Jeshi la wanamapinduzi wa Irani wameahidi Leo usiku Israel ijiandae kwa maafa makubwa

tusubirie wakuu

ila hii kauli so ngeni apa mjini
 
Back
Top Bottom