Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Napata mashaka hao walengaji walioko kwenye kitengo cha kupiga missiles wana agenda ipi, wachunguzwe isije kuwa ni mapandikizi.. maana inatia mashaka na maswali. Hadi sasa hakukupaswa kuwe na airport yeyote ama bandari inayofanya kazi Israel


Iran inaacha kupiga Dimona, inaacha kupiga airports zote za Israel zisifanye kazi, inaacha kupiga bunge la Israel, makao makuu, vituo vya polisi.. ofisi za serikali, vituo vya polisi... ,wanashindwa kuzitafuta aircraft carrier za US popote zilipo wazitumie mamia ya drones na missiles mpaka zikimbie na kupotea na kuzidiwa...

Kuna ujinga flani wanafanya.

Waache ku focus na hao waarabu wa gulf states, rais alikuwa sahihi, waache ujinga huo.
 
✅ US Secretary of State Rubio: Our main enemy is the Twelfth Imam

🔹We are fighting Iran because they believe the Twelfth Imam "Mahdi" must be returned; this war is not political, it is the war of the apocalypse.

Halafu kuna wakristo bado wanasupport hawa jamaa, wazi wazi wanakiri kuwa wao ni Anti Christ na wanaandaa ujio wake.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora maeneo ya polisi isfahan
20260308_150718.jpg
 
US anatafuta sababu tu.
US bases zake middle east zilikuwa zinajulikana hapo kuna intel gani Russia kampa Iran?

Trump tatizo anataka kuaminisha watu Iran haina uwezo kupiga bases zake middle east...

Kifo cha Suleiman, Iran alilipa kwa kulenga kambi mbili za US pale Iraq, je na hapo walipewa intel? Iran tayari anamiliki precision missiles. Kwa hilo tu inaonyesha Iran ilishajipanga toka zamani.
Kingine kauli ya Iran kusema itapiga kambi zote za US middle east ni toka zamani na anasema hilo mara kwa mara.

12 days war Iran ilionyesha tu ina uwezo wa kurusha missiles kwenye bases za US.

Hivyo Trump na magaidi wenzake wanaona haya kupigwa na taifa kama Iran wanaanza kufanya propaganda kuionyesha dunia Iran haina uwezo kulenga bases zake. Wanaionyesha dunia kwamba Iran inashirikiana na Russia, wanaona aibu kuona nchi kama Iran inahimili US na Israel.

Ndio hivyo inabidi wakubali kwamba ukubwa wa pua ........

US hii vita hadi sasa amedharaulika, na anajitutumua kwa nguvu zote aonekane mshindi, kupiga oil depot ni ukichaa, wala si hata la kusifu. Naamini kwa phase inayofuata Israel itapiga mwano.

View: https://x.com/joncovering/status/2030335522627846354?s=61
 
Napata mashaka hao walengaji walioko kwenye kitengo cha kupiga missiles wana agenda ipi, wachunguzwe isije kuwa ni mapandikizi.. maana inatia mashaka na maswali. Hadi sasa hakukupaswa kuwe na airport yeyote ama bandari inayofanya kazi Israel


Iran inaacha kupiga Dimona, inaacha kupiga airports zote za Israel zisifanye kazi, inaacha kupiga bunge la Israel, makao makuu, vituo vya polisi.. ofisi za serikali, vituo vya polisi... ,wanashindwa kuzitafuta aircraft carrier za US popote zilipo wazitumie mamia ya drones na missiles mpaka zikimbie na kupotea na kuzidiwa...

Kuna ujinga flani wanafanya.

Waache ku focus na hao waarabu wa gulf states, rais alikuwa sahihi, waache ujinga huo.
Kana ndio uwezo mdogo wafanyaje? By the way naona akili zinaanza kukurudi ushaanza kujua kuwa Iran kashatepeta.
 
#NewzFeed Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ametoa tahadhari nzito kuhusu hatma ya sekta ya nishati nchini humo, akibainisha kuwa kuendelea kwa mivutano ya kivita kunatishia kuifuta Iran kwenye ramani ya wazalishaji wa mafuta duniani.

Ghalibaf ameeleza kuwa hali ya usalama katika ukanda huo imefika hatua ya hatari ambayo inaweza kupooza kabisa uti wa mgongo wa uchumi wa taifa hilo.

"Vita hivi vikiendelea kwa mtindo huu, hakutabaki njia yoyote ya kuuzia mafuta, wala uwezo wa kuyazalisha," alisema Ghalibaf.
 
✅ US Secretary of State Rubio: Our main enemy is the Twelfth Imam

🔹We are fighting Iran because they believe the Twelfth Imam "Mahdi" must be returned; this war is not political, it is the war of the apocalypse.

Halafu kuna wakristo bado wanasupport hawa jamaa, wazi wazi wanakiri kuwa wao ni Anti Christ na wanaandaa ujio wake.
Na hawa wa imani moja je
 

Attachments

  • Screenshot_20260308-134456_Lite.jpg
    Screenshot_20260308-134456_Lite.jpg
    127 KB · Views: 17
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi shahr e Shahin
Screenshot_20260308-151045_1.jpg
 
UAE kashambulia Iran. Tutarajie nini huko jamani!?
Hao madogo wanaorusha missiles ni was3ng3...
Kulikuwa hakuna haja kupiga mitambo ya kusafisha maji chumvi ya UAE, rais aliwaambia kabisa inatosha kulenga gulf states, lakini walivyo wapuuzi wameendelea na sasa UAE haina budi bali kujibu.

Iran kuiharibu UAE haina faida yeyote kwake...

UAE inaweza ikaharibiwa ndani ya siku 4 tokana na jinsi imejengwa...

Hao madogo was3ng3 watolewe hapo kitengo cha kurusha missiles..

Wakamatwe wapigwe lock up...


AU ni Israel wamefanya mashambulizi ili kuiingiza Iran vitani na majirani? maana Israel inazidiwa na Hezbollah kule.. Dah kama ni Iran wamezingua sana...
 
US na Israel kushambulia police station ni kuandaa maandalizi ya maandamano ambapo kutaksekana vyombo vya uslama kutuliza ghasia , lakini kibaya ni mission ambayo imesha feli hadi sasa, nashangaa bado wanalenga police stations.
Hilo walishalisema kuwa wanashambulia Polisi Stations ili kuwapa njia waandamanaji,jana tuu mkuu wa Polisi wa Tehran kauliwa.
 
Back
Top Bottom