Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

View: https://m.youtube.com/watch?v=qzh8IrG-GrA&pp=ugUHEgVlbi1VUw%3D%3D
Naona Congress wanawabana watu wa Pentagon.Jamaa kaulizwa objective ya hii vita anachojibu hakieleweki na Congress wanashangaa kuona Mesile nyingi zimetumika ndani ya mda fupi. Halafu kuna watu bado wanakuambia US na Myahudi wapo vizuri.So hapo ndipo utaona US wamepanic maana hata huyo mwakilishi wa Pentagon kutoka DoD hajui Mesile ngapi zimetumika.
 
💥💥💥💥
King'ora cha tahadhali kimelia katikati mwa Israel
20260308_175327.jpg
 
Hawa pro Iran wanashinda gani😀😀🙌🙌🙌. Huko Iran inapigwa kipigo Cha mbwa Koko ila humu kuna watu wanaandika ma paragraph kuonyesha Iran inashindwa😀

Kwasasa Iran mvua ikinyesha sio maji tena ni tope linashuka kutoka angani aiseee!!🙌🙌
 
Na kwamba Israel kumetulia au siyo!?
Israel Pako shwari.. Iran haiwezi haiwezi kuiharibu Israel, nyuma ya Israel Kuna mataifa makubwa sana, Israel ni kama Ukraine, Russia kila siku anapiga vituo vya umeme,mafuta nk ila nchi bado vizuri

Israel na USA wakianza kushambulia miundombinu ya kiraia kelele la Iran ni zaidi ya Gaza na hakuna wa kuwasaidia
 
Sasa mbona wanazuia habari zisitoke?
 
Israel Pako shwari.. Iran haiwezi haiwezi kuiharibu Israel, nyuma ya Israel Kuna mataifa makubwa sana, Israel ni kama Ukraine, Russia kila siku anapiga vituo vya umeme,mafuta nk ila nchi bado vizuri

Israel na USA wakianza kushambulia miundombinu ya kiraia kelele la Iran ni zaidi ya Gaza na hakuna wa kuwasaidia
Mkuu UONGO HAUKUFAI.
Waandishi wa habari hata wa Israel walirusha video Israel ilivyoharibika.
Hata international affairs correspondent alirusha video za Israel rubbles.
Athari KOTE ZINATOKEA.ILA SWALI JE NI NANI ATATEMA BUNGO MAPEMA!??
 
Ni kweli mkuu kwa hili hata mimi nakubali.
Ila sasa Tehran kila baada ya nusu saa vitu vinashuka wakati huku Tel Aviv ni kwa siku mara mbili kwahyo hapo unaweza kuona tu uharibifu upo zaidi upande gani.
 
Mkuu huwezi ukapima uharibifu kwasababu upande mmoja wanaminya taarifa.
Pia Kijiografia Iran ana advantage ya ku contain mashambulizi kuliko Israel.
Israel mashambulizi ni ya uchache ila yana athari kulingana na aina ya silaha inayotumika na kulingana na udogo wa Israel.
Tupo hapa kaka muda utaongea.
 
Back
Top Bottom