gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Nani kasema wametoa bure?.. unaelewa hata geopolitics zilivyo?Mchina Hana Cha Bure mtalipa gharama kubwa
Nani kasema wametoa bure?.. unaelewa hata geopolitics zilivyo?Mchina Hana Cha Bure mtalipa gharama kubwa
Sasa hivi wameanza kurusha makombora mapya,linaonesha linaenda ubungo,ving'ora vinalia ubungo,linabadili uelekeo linatua kigamboni😄 Mkuu upo kwenye arsenal lab Yao unajua mpaka idadi ya silaha za Iran !? Dahh wabongo nyokoo 🙌
View: https://m.youtube.com/watch?v=qzh8IrG-GrA&pp=ugUHEgVlbi1VUw%3D%3D
Naona Congress wanawabana watu wa Pentagon.Jamaa kaulizwa objective ya hii vita anachojibu hakieleweki na Congress wanashangaa kuona Mesile nyingi zimetumika ndani ya mda fupi. Halafu kuna watu bado wanakuambia US na Myahudi wapo vizuri.So hapo ndipo utaona US wamepanic maana hata huyo mwakilishi wa Pentagon kutoka DoD hajui Mesile ngapi zimetumika.
Israel atakua karudi miaka mingapi?.. refinery Yao haifa haijabondwa?..vingapi vimebondwa unafichwa?The Israeli military said it struck Iran’s Aerospace Headquarters used by the IRGC to advance satellite launch capabilities. Officials warned the technology has potential dual use and could support long-range missile development.
NB:Mpaka hii vita hii ishe Iran itakuwa imerudi nyuma miaka 100 maana kila walichokitengeneza kwa jasho,damu,muda na resources vyote vinaharibiwa aisee,ni huzuni sana.
Wewe leta porojo tuu,swali la msingi mpaka sasa Iran kaharibu nini chakumuumiza Israel na Marekani kivita au kiuchumi au hayo maghorofa ya raia kwa debrisSasa hivi wameanza kurusha makombora mapya,linaonesha linaenda ubungo,ving'ora vinalia ubungo,linabadili uelekeo linatua kigamboni
Anaom ba po jaman tu.msikilize ama tuendelee na mashambulizi
Kama kashindwa kuuchakaza uwanja wa ndege wa Ben Gurion basi hakuna cha maana anachofanyaIsrael atakua karudi miaka mingapi?.. refinery Yao haifa haijabondwa?..vingapi vimebondwa unafichwa?
Unajua maana ya refinery?..kwa nini kupiga picha Israel na kuzisambaza unaenda jela miaka mitano?Wewe leta porojo tuu,swali la msingi mpaka sasa Iran kaharibu nini chakumuumiza Israel na Marekani kivita au kiuchumi au hayo maghorofa ya raia kwa debris
Mapato ya refinery chini ya mwaka unajenga viwanja vya Ben gurionKama kashindwa kuuchakaza uwanja wa ndege wa Ben Gurion basi hakuna cha maana anachofanya
Kmmk 😄😄😄🙌🙌Hii post mbona umeandika ukafuta, ulitaka u post kule MMU mkuu? au umechanganya na ID nyingine..
View attachment 3554938
Jitoe akili tuu na sasa hivi Iran kaanza kuweka launchers maeneo ya raia muda si mrefu mtaanza kutuma picha za vifo humu then Free Iran.Anaelekea kibla!?..washaanza kuomba sizifaya huko,niliona taarifa mchana Saudi Arabia wanaomba sizifaya,najua ni marekani anamtumia
🤣🤣Astaghfirullah toto Khanji kapoor linatafuta mume wa kilokole.
Vipi mrembo Khanji kapoor ushapata chaguo la moyo wako?