Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hawa pro Iran wanashinda gani😀😀🙌🙌🙌. Huko Iran inapigwa kipigo Cha mbwa Koko ila humu kuna watu wanaandika ma paragraph kuonyesha Iran inashindwa😀

Kwasasa Iran mvua ikinyesha sio maji tena ni tope linashuka kutoka angani aiseee!!🙌🙌
Na wanachi wameambiwa wakae mbali na maji ya mvua sababu ni sumu tupu sababu anga limejaa hewa ya mabomu pia waneambiwa wavae barakoa N95.
 
Israeli Air Force Commander Leads From the Front in Iran Strike

On March 7, 2026, Israeli Air Force chief Maj. Gen. Tomer Bar personally piloted an F-15 strike mission over Iran, removing his major general insignia beforehand to fly alongside his men without the visible markers of rank.

Sources close to Bar said the move was deliberate: he wanted to set a clear example of offensive leadership, sharing the same risks he asks of his pilots. Before takeoff he went down to the flight line, spoke directly with technicians, and talked with the crews preparing the jets.

This stands in sharp contrast to reports of IRGC commanders directing from underground bunkers. In wartime, real leaders step into the cockpit, not hide in tunnels.

Bar's action reinforces a long Israeli military tradition of commanders who fight with their troops, boosting morale and proving the IAF means business in the escalating campaign against Iran's nuclear and missile programs.
 

Attachments

  • 1772984078435.jpg
    1772984078435.jpg
    64.8 KB · Views: 16
✅ US Secretary of State Rubio: Our main enemy is the Twelfth Imam

🔹We are fighting Iran because they believe the Twelfth Imam "Mahdi" must be returned; this war is not political, it is the war of the apocalypse.

Halafu kuna wakristo bado wanasupport hawa jamaa, wazi wazi wanakiri kuwa wao ni Anti Christ na wanaandaa ujio wake.
Waislamu akili zenu sifuri mno mbona ninyi munaichukia marekani...hebu waangalie wapumbavu wenzio radio iman wanachangisha pesa kwa ajili ya palestina wakati huo weusi wenzao hapo Sudan na drc watu wanakufa njaa
 
Kumbe zile mbinu za Hezbollah na Hamas kufanya mashambulizi wakiwa wamejificha maeneo ya raia walifundishwa na Baba yao Iran maana Iran nae kaanza kuweka launchers maeneo ya raia.
 

Attachments

  • Screenshot_20260308-184531_Chrome.jpg
    Screenshot_20260308-184531_Chrome.jpg
    125.9 KB · Views: 18
US anatafuta sababu tu.
US bases zake middle east zilikuwa zinajulikana hapo kuna intel gani Russia kampa Iran?

Trump tatizo anataka kuaminisha watu Iran haina uwezo kupiga bases zake middle east...

Kifo cha Suleiman, Iran alilipa kwa kulenga kambi mbili za US pale Iraq, je na hapo walipewa intel? Iran tayari anamiliki precision missiles. Kwa hilo tu inaonyesha Iran ilishajipanga toka zamani.
Kingine kauli ya Iran kusema itapiga kambi zote za US middle east ni toka zamani na anasema hilo mara kwa mara.

12 days war Iran ilionyesha tu ina uwezo wa kurusha missiles kwenye bases za US.

Hivyo Trump na magaidi wenzake wanaona haya kupigwa na taifa kama Iran wanaanza kufanya propaganda kuionyesha dunia Iran haina uwezo kulenga bases zake. Wanaionyesha dunia kwamba Iran inashirikiana na Russia, wanaona aibu kuona nchi kama Iran inahimili US na Israel.

Ndio hivyo inabidi wakubali kwamba ukubwa wa pua ........

US hii vita hadi sasa amedharaulika, na anajitutumua kwa nguvu zote aonekane mshindi, kupiga oil depot ni ukichaa, wala si hata la kusifu. Naamini kwa phase inayofuata Israel itapiga mwano.
Kama kweli una akili timamu unadhani Iran inaweza shinda vita dhidi ya US +Israel? Labda uwe kichaa au kobazi
 
US President Donald Trump said Iran’s next supreme leader will not “last long” without the approval of the United States.

Speaking as Iran prepares to appoint a successor to Ali Khamenei, Trump said Washington wants to ensure the situation does not lead to another nuclear threat in the future.
 
US President Donald Trump said Iran’s next supreme leader will not “last long” without the approval of the United States.

Speaking as Iran prepares to appoint a successor to Ali Khamenei, Trump said Washington wants to ensure the situation does not lead to another nuclear threat in the future.
 
Hao madogo wanaorusha missiles ni was3ng3...
Kulikuwa hakuna haja kupiga mitambo ya kusafisha maji chumvi ya UAE, rais aliwaambia kabisa inatosha kulenga gulf states, lakini walivyo wapuuzi wameendelea na sasa UAE haina budi bali kujibu.

Iran kuiharibu UAE haina faida yeyote kwake...

UAE inaweza ikaharibiwa ndani ya siku 4 tokana na jinsi imejengwa...

Hao madogo was3ng3 watolewe hapo kitengo cha kurusha missiles..

Wakamatwe wapigwe lock up...


AU ni Israel wamefanya mashambulizi ili kuiingiza Iran vitani na majirani? maana Israel inazidiwa na Hezbollah kule.. Dah kama ni Iran wamezingua sana...
Tukiwaambia wafuasi wa Ayatollah hawana akili mnakasiririka

Umeona sasa unaowatetea
Na Bado
 
Nashangaa mpaka sasa Iran inaziangalia hizo Site tu , ningekuwa Mimi mshika kitufe naachia missiles kama buku kuelekea maeneo hayo
Mshauri afanye hivyo nchi yake ofutike katika ramani ya dunia. Kiongozi wao mkuu kauliwa kama mbwa koko lakini mbona hawajachia hizo missiles kama wana huo uwezo. Wataka wafanywe nini ili waziachie?
 
Context ni KIONGOZI KUULIWA. Kheri huyo ameuliwa vitani kuliko Kennedy aliyekuwa easy assassinated.

Hakuna pahala Iran imeomba msamaha,na hakuna pahala Iran imeishiwa nguvu nadhani ungeenda kumsikiliza MS.WARREN NA MR. CHRIS MURPHY wakuelezee uhalisia namna USA alivyogeuka kuwa paranoid ili kusave face.
Regime change failed.
Kila balozi imepigwa moto.
Kila kambi inepigwa moto.
Ripoti za leo asubuhi zinadai 7 EXPENSIVE RADARS ZA USA zimepigwa kibiriti.
Wewe endelea kuongea utumbo hapo ilhali USA wenyewe wanadai kuingia choo cha mabinti.
😄
 
Wenzako wote wamekimbia washaona Iran anaelekea kibra
Anaelekea kibla!?..washaanza kuomba sizifaya huko,niliona taarifa mchana Saudi Arabia wanaomba sizifaya,najua ni marekani anamtumia
 

Attachments

  • Screenshot_2026-03-08-18-58-31-447.jpg
    Screenshot_2026-03-08-18-58-31-447.jpg
    120 KB · Views: 13
  • Screenshot_2026-03-08-18-57-59-243.jpg
    Screenshot_2026-03-08-18-57-59-243.jpg
    152.5 KB · Views: 15
Launcher zinaishaje hali ya kuwa ni ma lorry yamebeba vyuma, hivi unaelewa launcher kiongozi.. au umekariri..
Kitu cha thamani ni missile sio launcher...

Iran haiwezi kuishiwa missiles wala launcher hilo sahau.. 12 days war kauli zilikuwa hiz hizi.

Kuna ile unaandika unataka udhihiridhe mahaba yako kwa Israel, huna fact, huamini unachokisema, basi unatunga tu... maneno matupu, utasema umefika sites za IRGC ukaona hawana launcher..

Iran wanaweza ishiwa missiles lakini sio launcher..
Kwani Iran wanasubiri mpaka wafanywe nini ili waziachie hizo missiles zao? Mpaka kiongozi mkuu kafyekwa kama kuku lakini wapo wapo tu eti wana silaha kali wamezificha chini ya ardhi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom