City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
gallow bird💥💥💥💥
Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv
![]()
100 others ITR King faisal Hawa ndiowatu mnasema wamekatazwa wasichukue habari?
Kawasadie kufanya kurusha hujui kama uwezo hawanaNapata mashaka hao walengaji walioko kwenye kitengo cha kupiga missiles wana agenda ipi, wachunguzwe isije kuwa ni mapandikizi.. maana inatia mashaka na maswali. Hadi sasa hakukupaswa kuwe na airport yeyote ama bandari inayofanya kazi Israel
Iran inaacha kupiga Dimona, inaacha kupiga airports zote za Israel zisifanye kazi, inaacha kupiga bunge la Israel, makao makuu, vituo vya polisi.. ofisi za serikali, vituo vya polisi... ,wanashindwa kuzitafuta aircraft carrier za US popote zilipo wazitumie mamia ya drones na missiles mpaka zikimbie na kupotea na kuzidiwa...
Kuna ujinga flani wanafanya.
Waache ku focus na hao waarabu wa gulf states, rais alikuwa sahihi, waache ujinga huo.
Atapigwa vipi wakati mpaka Airport zinafanya kaziKatika siku Tel Aviv itapigwa nadhani ni leo..
Leo Iran inashambulia non-stop...
US na Israel nao ni was3ng3, we unalengaje miunndo mbinu ya mafuta?
Kila siku nawaambia hao jamaa kuwa Hakuna sababu ya kuandika uongo. Tel Aviv kazi ipo zinaendelea kama kawaida. Airport Ben gurion inafanya azi, commercial flights zinaingia na kutoka. Lakini hawa pro Iran bado wapo kwenye denialAtapigwa vipi wakati mpaka Airport zinafanya kazi
Hii uliipata wapi mkuu?, seriously????Nukuu za gaidi Ayatollah khamenei
Mm nikichelewa kuoa nilikuwa na miaka 30 lkn mke wangu alikuwa binti mrembo wa miaka 10😋
Marekani ishapata hasara kawasikilize maseneta wa USA.Washaona Iran ni chui wa karatasi badala alete madhara kwa Israel na meli za Marekani yeye anadili na wasio wahusika wakuu.
Hii Propaganda sawa na kusikia Tela Aviv Wananchi wameambiwa watokeAtapigwa vipi wakati mpaka Airport zinafanya kazi
Mkuu huu ni uongo, uwanja wa ndege tel Aviv haujapigwa na unafanya kazi kama kawaida.Tel aviv airport imetekenywa.
Iran wanapigana kisede,mnapigaje ado ado kama mnanyofoa samaki sangara!??