Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

🇮🇷🇫🇷 The IRGC is warning France:

“If France is interested in us, we will be interested in them as well.”
 

Attachments

  • Screenshot_20260309_150527_Telegram.jpg
    Screenshot_20260309_150527_Telegram.jpg
    77.7 KB · Views: 15
Nukuu za gaidi Ayatollah khamenei

nilipigwa simu na kiongozi moja hapa mashariki ya Kati akinialika niende kutembelea nchi yake Ila Kuna waislam wanaonipenda walinipa mipango miovu nikamzia simu uyo kibaraka wa magharib 😁
 
Kumbuka Natanz, Kituo hiki kimekuwa kikihusishwa na mashambulizi kadhaa ya siri, katika miaka iliyopita yakifanywa na israel. Na sio mwaka jana pekee, huku mashambulizi haya lengo likiwa ni kuharibu centrifuge na power system za irani. Nasio kulipua reactor kubwa.

Ndio maana hakukuwa, na radiation disaster kubwa kama ya Chernobyl.
Ndioo maana huwa tunasema humu Iran ni watu wastaarabu sana na hawajashambulia dimona moja kwa moja mpaka sasa kwa sababu ya shambulizi kwenye nuclear power plant linaweza kusababisha radioactive contamination kwa watu wengi pamoja na mazingira.
kwa Nini asiitwe mssitaarabu mwenye nyuklia ilivyo tayari kutumika vitani na hajaitumia licha ya kuwa ametishiwa kufutwa?
 
Back
Top Bottom