Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Marekani wameingiza kwenye mashambulizi pamoja ndege za kivita aina ya B1, B2 na B 52
20260309_155306.jpg
 
Tapeli muongo muongo , Ulishawahi kuona wapi mtu wa takbirrrrrrrrr akawa na Akili timamu!?
😃😃😃😃😃😂😃😂😃😂😃😂😂😃
Wewe bana acha utagombana na watu humu
 
💥💥💥💥
Assassination iliyofanyika huko hamedan ilikua kuuwawa kwa Mohamed mehdi farhadi. Alikua meneja wizara ya intelijensia ya Iran. Alikua alihusika na cyber activities(hacker). Alikua akiwindwa kwa mud mrefu
20260309_163728.jpg


Sehemu alipofanyiwa assassination
20260309_163703.jpg
 
Back
Top Bottom