Mkuu acha propaganda basi kwa hiyo unataka apige vyanzo vya umeme Iran wakae giza? Mbona mnapenda wenzenu wateseke? Embu vaa basi viatu vya wa Iran. Marekan yeye nchi yake ipo safi raia wake wapo safi na amani tele wanaopigani ni wanajeshi ambao tena nje ya nchi ambao ndio kazi yao hiyo.Trump kashaaanza kuandaa watu Kisaikolojia Ngoma imemkalia kooni Jana kwenye press anasifia mambo madogo ya kuzamisha meli na kuyakuza mno kuwa ni ushindi mkubwa utadhani ndio yalikuwa malengo makuu ya vita
Eeeeeh, kumbe haufuatilii habari za rais wenu?Wewe! Anawaambia wapite wapi? Bado wanafikiria cha kufanya ili wapite maana hata akipeleka naval ships hizo nazo zitapigwa missiles kama hizo za mafuta.
Issue ya maji kalipua UAE kulipiza kisasiCarpet bombing zimefanyika maeneo mengi ya raia bro.
Jana tu wamekufa raia 40+ wa Iran.Uje useme kuwa hawana shida na raia?
Wamelipua kimakusudi eneo la usambazaji maji je huko sio kuwalenga raia?
Basi sawa viongozi wa Israel wakuwapi?
Je wanaonekana?
Mbona wenyewe wamekana wanadai ni False flag?Issue ya maji kalipua UAE kulipiza kisasi
Humjui Netanyahu wewe hapo anataka waendelee kushambulia zaidi, mkuu mbona husomi code?
Ukiona watu wanakataa ceasefire. Ujue wanajiamini na wana nambo lao
Yamepunguq lini na wapi? We jamaa umechanganyikiwa. Israel anapeleka moto kila dakika.Naona hata mashambulizi ya anga yamepungua,baada ya radar zao nne kulipuliwa, vita ishakuwa ngumu.
Una umri gani?Humnui Netanyahu wewe hapo anataka waendelee kushambulia zaidi, mkuu mbona husomi code?