Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Unalipwa sheikh....kazi saa ngapi? Usije anza kumlaumu Samia baadae!? Vita vitaisha ivyo na maisha yataendelea huko middle east! Wakati huo wewe bado hoehae ! Myahudi hatambui kama wewe mmatumbi ni myahudi mwenzie!💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
View attachment 3556016