Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Chemical Ali na siyo comical, halafu chemical Ali hakuwa waziri wa habari aliyekua akipiga propaganda,yule alikua al sahaf
Mkipatana mtatujulisha!!, sasa hivi tumeshiba daku tumepumzika pale kwa mwarabu wa PEMBA!!!
 
US amempigia simu Putin kuomba awasaidie kidiplomasia.
EU wamempigia simu Putin anaomba awasaidie kumaliza hii vita,maana hali yao ya Gas na oil inazidi kuwa mbaya.
Gulf states nao wamempigia simu Putin wanaomba wasaidiwe kumaliza huu mgogoro.

Iran kasisitiza atamaliza vita kwa mda wake na kwa terms zake. Naona Putin washaanza mjadili kwenye vyombo vyao ulaya.
Screenshot_20260311_092559_TikTok.jpg

Yaani Putin kwa sasa yeye ndiye anayeweza kukaa chini na kuongea na Iran akamwelewa na Iran naona anataka heshima maana dharau zilizidi.

Chombo cha habari cha Telegraph wamechambua kwa kina ,ila kuna watu wanadai Iran anahali mbaya.

Halafu Russia sizani kama atasuluhisha sasa hivi hii vita maana naona mpaka amalize stock yake yote ya mafuta naona anawauzia West Asia mafuta, anacho subiria Iran mpaka alizike then yeye ndipo aamze usuluhishi.

Ulaya wanatamani gas na mafuta kutoka Russia ila walivyo wajinga wanamuogopa US ila wana hali mbaya sana upande wa nishati, hii hali ikienda mwezi nchi za EU kutakuwa na maandamano makubwa ,watu wakilalamika gharama za maisha kupanda.

View: https://m.youtube.com/watch?v=U5EAvgCeDSM&pp=0gcJCcUKAYcqIYzv
 
US amempigia simu Putin kuomba awasaidie kidiplomasia.
EU wamempigia simu Putin anaomba awasaidie kumaliza hii vita,maana hali yao ya Gas na oil inazidi kuwa mbaya.
Gulf states nao wamempigia simu Putin wanaomba wasaidiwe kumaliza huu mgogoro.

Iran kasisitiza atamaliza vita kwa mda wake na kwa terms zake. Naona Putin washaanza mjadili kwenye vyombo vyao ulaya.
View attachment 3556289
Yaani Putin kwa sasa yeye ndiye anayeweza kukaa chini na kuongea na Iran akamwelewa na Iran naona anataka heshima maana dharau zilizidi.

Chombo cha habari cha Telegraph wamechambua kwa kina ,ila kuna watu wanadai Iran anahali mbaya.
Na nakuambia Ikiisha hawatakuja Rudia mchokoza 😂😂
 
Iranian Armed Forces spokesperson Brig.-Gen. Abolfazl Shekarchi called on regional Muslims and countries to reveal the locations of US and Israeli military assets to enable Tehran to conduct more accurate airstrikes.

Tuliambiwa hapa kuwa eti Russia inatoa locations za asset za Marekani kwa Iran,vipi tena kaacha kutoa baada ya kuona ananufaika na vita kwa kuuza mafuta kwa bei juu?
 
Back
Top Bottom