hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
View: https://m.youtube.com/watch?v=bB0zN9Cxf24
View: https://m.youtube.com/watch?v=hgm5E3Z7osA
View: https://m.youtube.com/watch?v=7VWnOxiIKZM
View: https://m.youtube.com/watch?v=tYYobJI7eF4
View: https://m.youtube.com/watch?v=gLBkB3DT1q8
Kwa hali inapo elekea watashindwa kuwazuia watu kupost, TRT juzi walionyesha mabomu ya kilipua sehemu mbalimbali (Bandari,viwanja vya ndege na vituo vya kuzalisha nishati ya umeme)kwenye ardhi ya Myahudi, japo waliripoti, ila hawakupata nafasi ya kupiga picha hayo maeneo,ila naona sasa vitu vinaanza kuonekana. Iran sasa anazitafuta radar za myahudi, baada ya kulipua radar za US kumi.
Juzi Afisa mmoja wa ikulu aliomba serikali ya Iraq ,iwalinde wanadiplomasia wake baada ya wale waliokuwa wakikaa ktk hotel kulipuliwa na leo hii,wengine wamelipuliwa Iraq.
View: https://m.youtube.com/watch?v=BN1ze9hf5Qo
Noma 🔥🔥😁