Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Kanali Majid kashefi alikua kwenye gari barabara ya khamein to malayer , ndipo hapo gari yake ikashambuliwa na drone
20260311_014211.jpg

Gari iliyoshambuliwa na drone
20260311_014205.jpg
 
Hii vita wote wanaumia sio Iran wala sio Israel.Hata Iran inaumia sana tu na inabondwa haswa.
Ila point kuu ni nani atakayehimili hii vita kwa muda mrefu!??
Hapo ndio pachungu.
msitudanfanye vita Haina matokeo sawa yaani Haina sare hasa wakati Bado show inaendelea
 
Huu ni mtazamo wangu.
Marekani inavyoonesha hana shida sana na regime change mwenye shida na regime change ni Israel hasa Netanyahu aka Bibi.

Ni muda mrefu Bibi amekuwa akiitafuta hii nafasi ya kuivamia Iran ila kiukweli peke yake asingeweza mziki wa kuyazuia makombora ya Iran maana maafa yangekuwa makubwa sana huko Israel.

Kilochotekea wakati huu ni kwamba Marekan kashiriki hivyo wameweza kuharibu miundombinu na kupunguza uwezo wa kijeshi wa Iran ikiwemo kuzalisha makombora ambayo ndio tishio kumbwa kwa Israel hasa makombora ya masafa marefu.

Pia ni wameweza kuteka anga la Iran wanaweza kufanya wanachotoka na hichi ndicho Netanyahu alikuwa anakisubiria sana maana Israel kwenye vita ya anga ndio mahala pao. Baada ya kuwapunguza nguvu ua kijeshi Iran (kuwavunja mbawa) kuna uwezekano mkubwa Marekan akajitoa kwenye vita akabaki Netanyahu mwenyewe akawa anatawala anga na kujipigia vile anataka hasa kuwauwa wataalam na viongozi waandamizi (maana ndio tabia ya Israrl hii) kuhakikisha Iran hawawezi tena kuwa stable kijeshi na hichi ndio Bibi anapenda.
 
Marekani ajitoe halafu Israel aendelee kujipigia mkuu acha ushabiki

Israel wenyewe wanaelewa kuwa peke yao Hawawezi ndiyo maana walisubiri tag la USA
 
Huu ni mtazamo wangu.
Marekani inavyoonesha hana shida sana na regime change mwenye shida na regime change ni Israel hasa Netanyahu aka Bibi.

Ni muda mrefu Bibi amekuwa akiitafuta hii nafasi ya kuivamia Iran ila kiukweli peke yake asingeweza mziki wa kuyazuia makombora ya Iran maana maafa yangekuwa makubwa sana huko Israel.

Kilochotekea wakati huu ni kwamba Marekan kashiriki hivyo wameweza kuharibu miundombinu na kupunguza uwezo wa kijeshi wa Iran ikiwemo kuzalisha makombora ambayo ndio tishio kumbwa kwa Israel hasa makombora ya masafa marefu.

Pia ni wameweza kuteka anga la Iran wanaweza kufanya wanachotoka na hichi ndicho Netanyahu alikuwa anakisubiria sana maana Israel kwenye vita ya anga ndio mahala pao. Baada ya kuwapunguza nguvu ua kijeshi Iran (kuwavunja mbawa) kuna uwezekano mkubwa Marekan akajitoa kwenye vita akabaki Netanyahu mwenyewe akawa anatawala anga na kujipigia vile anataka hasa kuwauwa wataalam na viongozi waandamizi (maana ndio tabia ya Israrl hii) kuhakikisha Iran hawawezi tena kuwa stable kijeshi na hichi ndio Bibi anapenda.
Ushabiki Maandazi
 
Back
Top Bottom