Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Sawa.
Sawa.
Ilikuwa jambo jepesi kujibu nilichoulizaKwani aliye lipuliwa rada zake nne ni nani? (Unaweza kwenda CNN kama hujui) Radar ni moja ya tools kubwa unapofanya mashambulizi ya anga.
Sasa unataka jibu gani wakati reference umepewa.Ilikuwa jambo jepesi kujibu nilichouliza
Mfano baba yako angeuliza ungemjibu hivyo?Sasa unataka jibu gani wakati reference umepewa.
Unamuita mkuu huyo poyoyo kobaz kavimbiwa futari anabwajabwaja tu na kujamba hapo.Labda siyo mtoa roho
Unapotaja Israil uitaje kwa adabu mkuu
Hawa watu ni wabaya sana linapokuja suala la vita, hisitoria inawabeba
Sasa ushasema baba,halafu si wengine wazee wetu wasomi kumwambia reference ya kitu anakuelewa. Labda Kama wewe dingi yako.Mfano baba yako angeuliza ungemjibu hivyo?
Mimi ndio baba yakoSasa ushasema baba,halafu si wengine wazee wetu wasomi kumwambia reference ya kitu anakuelewa. Labda Kama wewe dingi yako.
Ulipaswa ufuatilie mjadala ni wapi umeanzia mpaka kuandika hichoKwakuwa mengi mkristo mwenzio? Kwaiyo kina bakhresa hawafanyi biashara bali wanauza masaburi yako?
Mimi ndiye mchepuko wa bi mkubwa wako.Soo wewe ni mtoto wangu ndani ya ndoa ya bi mkubwa wako.Mimi ndio baba yako