Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
ni bibi yako kwahiyo una haki kumuita hivyo ....sawa mbegu zangu?Mimi ndiye mchepuko wa bi mkubwa wako.
ni bibi yako kwahiyo una haki kumuita hivyo ....sawa mbegu zangu?Mimi ndiye mchepuko wa bi mkubwa wako.
Mimi ndiye mchepuko wa bi mkubwa wako.Soo wewe ni mtoto wangu ndani ya ndoa ya bi mkubwa wako.ni bibi yako kwahiyo una haki kumuita hivyo ....sawa mbegu zangu?
Mwanangu wewwMimi ndiye mchepuko wa bi mkubwa wako.Soo wewe ni mtoto wangu ndani ya ndoa ya bi mkubwa wako.
Mwanangu wa nje ya ndoa.Mwanangu weww
Nimefuatilia comment yako imenipa picha ya mjadala mzima kwamba wewe una chuki kuu na waislam!sijui sababu wamekuzidi pesa na wewe umebakia na mivyeti yako unatumikishwa naoUlipaswa ufuatilie mjadala ni wapi umeanzia mpaka kuandika hicho
Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana sasa hapa unajilizaliza kujificha chini ya mwamvuli wa dini Una tafuta nini? umeshiba Daku lako tulia au lala kabisa ondoa Makasiriko mwezi mtukufu huu!!Nimefuatilia comment yako imenipa picha ya mjadala mzima kwamba wewe una chuki kuu na waislam!sijui sababu wamekuzidi pesa na wewe umebakia na mivyeti yako unatumikishwa nao
Unaogopa ndevu bibie!Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana sasa hapa unajilizaliza kujificha chini ya mwamvuli wa dini Una tafuta nini? umeshiba Daku lako tulia au lala kabisa ondoa Makasiriko mwezi mtukufu huu!!
Sio kama ,Amechanganyikiwa kweli 🙌😄Mbona Trump anaongea kama amechanganyikiwa?
Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaaNimefuatilia comment yako imenipa picha ya mjadala mzima kwamba wewe una chuki kuu na waislam!sijui sababu wamekuzidi pesa na wewe umebakia na mivyeti yako unatumikishwa nao
Kila unapobanwa unasingizia watu kuwa wana chuki na Uislamu kuficha ujinga wako!!Unaogopa ndevu bibie!
Israel haina shida kama Iran anapigwa waarabu maana imeandikwa Vita vya Panzi Furaha ya kunguru!!Iran bado hajakata tamaa kichapo kinaendelea baze za US na Israel. Sasa hivi anapiga na wale wanaojipanga kupigana na Hesbullah ili kuwapunguzia nguvu
Thibitisha kuwa ni uongo !? 😄 Naona huamini unacho kiona aibu kubwa sana imewapatawewe futa uongo wako huo wenzio waliuleta kwenye Uzi huu baadae waliona aibu wenyewe
Kwahiyo wewe hauna chuki na waislam?Kila unapobanwa unasingizia watu kuwa wana chuki na Uislamu kuficha ujinga wako!!