Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa

Wewe umejaa Udini tupu mkuu

Kama ukiweza, nitajie mtanzania Asili mweusi kama wewe ambaye ni mfanya biashara ukiondoa hao wahindi wanaofahamika
Huu Uzi wa Iran na Israel hebu toeni huu upuuzi wa dini, JF inahitaji moderators wa kuonya watu na kulimit hizi post. Watu wengi wanaotoa madini wamekimbia huu Uzi mmebakia Tu watu wenye "low effort posts"

Swali lako pia lishajibiwa huko nyuma na post kibao, kukutajia Tu fasta fasta Ali mufuruki na Jumanne kishimba wote ni matajiri wakubwa nchi hii wenye ukwasi kwenye mamia ya Bilioni aka centillionaire.
 
Kuna watu niliwaambia humu,Israel kamwe haina ubavu wa kupambana na Iran.
Kwa madai ya Trump Iran alipanga mashambulizi mazito sana dhidi ya Israel ambayo yangemaliza vita mapema sana. Kuishambulia kwao Iran kumefanya Iran itawanye nguvu.
Halafu kuna mbuzi zinakwambia Israel inajiweza.
Imagine yale mashambulizi ya zile bases za US yote yange elekezwa Israel.
 

Najua unajua ila unapotosha kimakusudi, makombora ya sasa yanaitwa Khoramshahr-4 achana na 20 even matatu Tu yakirushwa impact yake ni kubwa kuliko makombora 100 ya mwanzo. Cluster bomba yenye vichwa Hadi 80 sio mziki wa kitoto


AFP__20260305__A26D3BM__v1__HighRes__IsraelUsIranWar-640x400.jpg

Picha ya Cluster missile, hayo sio makombora megi Bali linachanguka likikaribia target na kwenda kupiga target tofauti tofauti nyingi.
According to IDF wenyewe missile moja ina uwezo wa kupiga km 10 so Mwenge mbagala unahitaji makombora mawili Tu kupiga Target Hadi 160

source
 
Back
Top Bottom