Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la marivan
20260311_153859.jpg
 
Washaanza kutoa milio EU,mbunge mmoja wa EU anakwambia ktk siku kumi za vita gas imepanda kwa asilimia hamsini na mafuta asilimia ishirini na saba. Imesababisha gharama za kuagiza mufuta na gesi kupanda kwa Euro 3bil. Putin kama hawaoni, yeye kaanza kuwauzia mafuta na gas West Asia,Iran hana mpango wa kupoa kabisa.Hizo ni siku kumi hii ikitoboa mwezi nchi za ulaya kutakuwa na maandamano makubwa sababu ya mlipuko wa bei, EU lazima watampigia magoti Putin na tayari washampigia magoti wakiomba, aongee na Iran ili amalize vita.
Screenshot_20260311_154341_TikTok.jpg



View: https://m.youtube.com/watch?v=jNF38JJI6vk
 
Tel Aviv si tuliambiwa hakuna umeme? Au washajenga power plant ingine?
yaani hata hearleweki juzi tulikuwa tunaambiwa Netanyahu wamemuuwa ajabu baada ya Jana kuonekana kule bandarini wamebadili tena kuwa wam
 
Unaambiwa IRGC wamepewa maelekezo mapya huko, kuanzia jana na kuendelea makombora yatakayokuwa yanatumika hayatakiwi kuwa na uzito chini ya tani 1.

Oyaaaaah, huyu Ayatollah janja ana roho mbaya kinoma!!!
Hujaona taarifa ya kwamba alijeruhiwa kwenye mashambulizi 😊
 
Back
Top Bottom