City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la afsariyeh
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la afsariyeh
sijui wakti mwingine labda uwe unasema Iran k intercept maana jamaa wanakuchukua hao💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la teleqan 2
Muoneeni huruma mtoto wa mungu mnataka apigwaje?Waoneeni huruma Iran
Mnataka abondweje jmn
Mashambulizi makubwa sana yanafanyika muda huu hili eneo👆💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi Ahmad ibn musa - zarqan
Mkuu,Kwani haya ndo wanayosema yako sita tu kwa sababu ya gharama zake?💥💥💥💥
CENTICOM: B-2 bombers zinatumika kwenye operation usiku huu
Daaah! Hii nafasi Netanyahu aliitaka sana. Iran inaenda kuwa Gaza sijui kama ataweza tena kuwadhamini proxy wake.💥💥💥💥
Jeshi la Israel: tumeanzisha mashambulizi makubwa ya miundombinu ndani ya Tehran