hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Unakabia kwa juu sana.Sawa myahudi wa kwa mfipa, limepiga nyumba alijaua mtu? THAAD air Defense haipo kwani?
Utamuua ndugu yahudi kutoka tegeta kwa ndevu.
Unakabia kwa juu sana.Sawa myahudi wa kwa mfipa, limepiga nyumba alijaua mtu? THAAD air Defense haipo kwani?
Hii propaganda sio kweli ipuuzwe iran gani iloishambulia tel avivu wakati DT kasema iran kwisha habari yao
Not intercepted?
😀 😀 😀 😀Duh 😄
Wabongo nyokoo
Bongo sihami 🙌🤣
Mkuu si umeona impact hapo?Not intercepted?
Kwa msaada wa nani!?😀 😀 😀 😀
Unambiwa wameshambulia targets 15, 000 na bado hazijaisha
Tanzania tuna targets ngapi, sema tu ukweli
Impact ipoje mkuu?tuma tena clip!Mkuu si umeona impact hapo?
kwamba wahouth wapalestina na hizbulah wameanza kurusha rockert baada ya ayatolah kuuwawa kumbuka humu wengi niwafuatiliaji wa habari. unasema ya kuwa hao youth na hizbolah nisiwalinganishe na nchi kama USA uko sawa lakini majeshi waliyonayo na silaha ambazo wamewezeshwa na mfadhili wao kwa Afrika huo kuna nchi labda tatu ndio zinaweza kumatch nazo lakini mwisho hakuna vita isiyo na mshirika iwe anajitolea ama analipwaTangu dunia kuumbwa vita hii ndio ya kwanza Hizbollah na Houthi kuhusishwa kwasababu aliyeuawa ni kiongozi wa dini.
Hamas hawakuwahi shiriki vita pamoja na Iran ACHA KUONGOPA.
Pia usifananishe hivyo vikundi vya wanajihadi na nchi kamili yenye jeshi kamili kama USA.