MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hii Israel inayosaidiwa na USA!??Wana i underestimate Israel na ndio maana Iran inapigwa.
Kwa mashambulizi aliyoyafanya Israel ndani ya Iran anaweza kuziteka nchi hata 20 hapa Africa
Ha ha ha ha ha ha 😀😀😀😄😉😅😅😃😀Hii Israel inayosaidiwa na USA!??
Kama Israel inajiweza kwanini ilimshinikiza USA aingie vitani!??
Unaweza ukatujibu hilo swali??
Kwa hapa Afrika hiyo Israel nampa Algeria tu achilia mbali Morocco au Egypt. Algeria tu Israel HATOBOI.
Labda amuite mumewe USA kama kawaida yake.
Sasa kwanini asianze na kuiteka moja tu ambayo ni iranWana i underestimate Israel na ndio maana Iran inapigwa.
Kwa mashambulizi aliyoyafanya Israel ndani ya Iran anaweza kuziteka nchi hata 20 hapa Africa
Sasa na wewe si ulete hizo za ndani, mbona hili ni jukwaa huru?Mkuu mie sio Pro Iran ila upashaji wako wa taarifa una shida kidogo au hufikii taarifa za ndani kabisa za Israel kama unavyozipata za Iran (Means kuna censorship ya taarifa upande wa Israel) . Kwa Iran una ainisha milipuko, eneo lengwa na ukubwa wa uharibifu. Ila kwa upande wa Israel unasikia ving'ora tu bila picha wa kutuambia kama iran ameshambulia au la. At least kuwa muwazi kama umeamua kutuhabarisha kuhusu hii vita.
Hamas na Hizbollah unawalinganisha na Marekani?mbona Irani yeye huingia kwa pamoja akiwa hamas'. wahouth na hezeblah au haujui hilo
Kubwa jinga liliingia Kichwa kichwa
Awamu hii wanalo
View: https://x.com/i/status/2032434826092097760
Duh 😄Wana i underestimate Israel na ndio maana Iran inapigwa.
Kwa mashambulizi aliyoyafanya Israel ndani ya Iran anaweza kuziteka nchi hata 20 hapa Africa
Wafe tuuWanaongezeka!!!!!!!!!!!!!!
US CENTCOM has announced that all six crew members of the US Air Force KC-135 Stratotanker have been confirmed dead after the aircraft went down in “friendly airspace during Operation Epic Fury” over western Iraq.
![]()
RT - Breaking News, Russia News, World News and Video
RT is the first Russian 24/7 English-language news channel which brings the Russian view on global news.www.rt.com
Macron si amejiingiza kwenye vita sasa antka nn zaidi ya kipigoMzee legeza kidogo!!!!!!!!!!!
France and Italy have reportedly opened negotiations with Iran in hopes of receiving guarantees of safe passage for their ships through the Strait of Hormuz, the Financial Times reported on Friday, citing sources familiar with the talks.
![]()
RT - Breaking News, Russia News, World News and Video
RT is the first Russian 24/7 English-language news channel which brings the Russian view on global news.www.rt.com