MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Kubwa jinga liliingia Kichwa kichwa
Awamu hii wanalo
View: https://x.com/i/status/2032434826092097760
Awamu hii wanalo
View: https://x.com/i/status/2032434826092097760
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani haina kitu.Kwa sababau ni wataalamu wa mbinu na mikakati.
Kupigana mwenyewe means, you are not are trustworthy.
Kwenye vita usijekuwa neutral.
Baada ya hivi vita Israel atakuwa anaamua nini afanye mashariki ya kati.
Leo alfajiri wamefanya mashambulizi makubwaHawa nao kila siku wanasema hivyo hivyo…..
Maneno tu tumeyazoea kitaalam sio kweli na haiwezekani kuzuiya nchi kama Iran kutengeneza chochote!!!💥💥💥💥
Waziri wa vita wa marekani: Iran haina uwezo tena wa kutengeneza makombora
Kesho tena watasema hivyo hivyo!Leo alfajiri wamefanya mashambulizi makubwa
Ata zile fujo ni wao ndio wameshiliki na kuwauwa Waandamanaji ili kuchochea hasira za Uma. Majasusi ndio wameuwa watu wengi..Unaliona Hilo nyomi linalosupport hio Serikali? Mamilioni ya watu wapo nje
View attachment 3557455
Hapo Isfahan
View attachment 3557456
Hapo Tehran
Watu wote wapo nje kusupport Serikali, unafkiri kuna kiumbe kitatoka kiandamane hapo kukataa Serikali? Wale wa upande wa pili wanafanya Tu timing na fujo Ila sio wengi hivi
So kwa unachohisi wewe Iran ameendelea kiteknolojia za silaha kupita USA 😎m
US na China hawana mikataba ya silaha.
Israel haipo hata katika top5 ya nchi zinazouza silaha kwa wingi USITUDANGANYE.
Kama wanaoongoza kwa kuunda silaha bora ni Usa na Israel basi silaha zao zisingeshindwa mbele ya Iran.
Basi wasingefeli kulinda maslahi yao na nchi yao Israel.
-Kama China ingekua ina mikataba ya silaha na USA basi wasingemsaidia Russia vipuli vya silaha kwenye Ukraine war.
-Basi wasingesaidia nchi hasimu za USA kisilaha ukanda wa Asia Pacific.
-Basi wasingemuuzia Iran ndege wala makombora wala kumpa huduma ya satellite.
Muda mwingine ongea ukiwa na clarity.
Hii ni point sema mashabiki hawaelewiPezeshkian walking among the people while his Supreme Leader is injured and in hiding.
The president is visible. The Supreme Leader is not.
Iran's public face right now is the man Israel deliberately kept alive because they think he's negotiable.
Mkuu mie sio Pro Iran ila upashaji wako wa taarifa una shida kidogo au hufikii taarifa za ndani kabisa za Israel kama unavyozipata za Iran (Means kuna censorship ya taarifa upande wa Israel) . Kwa Iran una ainisha milipuko, eneo lengwa na ukubwa wa uharibifu. Ila kwa upande wa Israel unasikia ving'ora tu bila picha wa kutuambia kama iran ameshambulia au la. At least kuwa muwazi kama umeamua kutuhabarisha kuhusu hii vita.💥💥💥💥
King'ora cha tahadhali kimelia kaskazini mwa Israel
Hili amelosema pia kiongozi mmoja wa Qatar kwamba lengo la Usa ni kuwaachia ugomvi Gulf states ili yeye aanze kuwauzia silaha. Pia Erdogan amewaambia waislam kuepuka kuingiza udini kwenye hii vita kwenye ukanda huuHuyo ni upande wa Siasa.
Israel na Marekani wanatengeneza mazingira ya vita ya wenyewe kwa wenyewe Iran...
Sijui kwa nini hamuoni bigger picture... Toeni chuki zenu kwa Israel na ushabiki wenu kwa Iran alafu mjadili kwa utashi
Sababu nijuazo mimi:How come Israel huwa hapigani peke yake dhidi ya Iran?
Nauliza tu 🤣.