Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Soma kwanza hii halafu uje tena
Ngoja nikutafunie Kiswahili labda utaelewa.

Wewe asubuhi ili ushibe unahitaji maandazi 7, uwezo wako wa kupika ni maandazi manne, kuna jirani anauza maandazi matatu, bei ya maandazi ikipanda unafaifika vipi sababu we Una manne na yeye ana matatu?

Mafuta ya Marekani hayamtoshi so kupanda kwa mafuta unless anyime wananchi wake na kuyauza Ulaya Bei itamuathiri, tena Sana Tu.
 
Back
Top Bottom