City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel muda huu wanashambulia checkpoints za kusini mwa Iran
Israel muda huu wanashambulia checkpoints za kusini mwa Iran
Mkuu kuwa muwazi tu ma pro Iran wengi hamnazo wanadanganyika na propaganda za kijinga sana.Kuna washabiki wa hii Vita akili zao kama haziko timamu
Wameamua kuweka akili rehaniMkuu kuwa muwazi tu ma pro Iran wengi hamnazo wanadanganyika na propaganda za kijinga sana.
Ila we jamaa ni muongo sana unaokoteza vipicha thn unatuongopea