Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Ushamshtukia nawewe!Ila we jamaa ni muongo sana unaokoteza vipicha thn unatuongopea
Ushamshtukia nawewe!Ila we jamaa ni muongo sana unaokoteza vipicha thn unatuongopea
Mkuu una mbwembwe!! Haya lete taarifa bwana Willy ngomaNina picha zaidi ye elfu, hivi unategemea nitakua robot picha zote ziende sawa?
City Thunder OKC atakuambia ni fake newsUfaransa yadhibitisha kuwa baadhi ya wanajeshi wake waliuawa na wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya Iran nchini Iraq.
Huyo ni myahudi wa kiloka morogoro!Wakipata wao hitlafu ni refueling plane !? 😄😄
.weee jamaa umeathirika na propaganda za kijinga sana Tena sana
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: Tumeshambulia maeneo yenye vizuizi na Askari walio kwenye maeneo hayo.
Watakuwa vibaraka wa Israel. Mbona wao hawauwawi , mabomu yanapigwa pembeni kama wanawasindikiza .Raisi, Waziri wa mambo ya Nje, secretary wa Serikali, Mkuu wa Polisi wote wapo Quds square,
View attachment 3557432View attachment 3557433
Bomu linapigwa pembeni watu hata habari hawana
View attachment 3557434
Watu design hio kamwe huwezi kushinda kwa kuwaua.
Lete taarifa mkuu.💥💥💥💥
Back again get ready for the updates
Safi saana, piga polisi piga hao wanajeshi, raia lazima wachukue nchi.kwakutumia special uav israel ina safisha safisha mitaa huko teherani wameua mapolisi wengi kwenye roadblock hii ni kuwezesha nguvu ya uma kuchukua serekali yao
Huyu mzee anatia spana tu.Rais wa Marekani Donald Trump, kupitia ukurasa wake wa TRUTH amesema ni "heshima kubwa" kuwaua viongozi wa utawala wa Iran, katika chapisho lake kwenye mtandao huo.
Trump ameandika, "Tunaangamiza kabisa utawala wa kigaidi wa Iran, kijeshi, kiuchumi, na vinginevyo," aliandika kwenye Truth Social mapema asubuhi ya leo.
"Jeshi la Wanamaji la Iran limetoweka, Jeshi lao la Anga halipo tena, makombora, ndege zisizo na rubani na kila kitu kingine kinaangamizwa, na viongozi wao wamefutwa kutoka usoni mwa dunia."
"Tuna nguvu ya risasi isiyo na kifani, risasi zisizo na kikomo, na muda mwingi - Tazama kitakachowatokea hawa matapeli wazimu leo."
"Wamekuwa wakiwaua watu wasio na hatia kote ulimwenguni kwa miaka 47, na sasa mimi, kama Rais wa 47 wa Marekani, ninawaua. Ni heshima kubwa kufanya hivyo!"
Follow Prosper Tv
#prospertv_tz
Unaliona Hilo nyomi linalosupport hio Serikali? Mamilioni ya watu wapo njeIran wafute mfumo wakidini other wise lazima waingie vitani wenyewe kwa wenyewe
Kibaraka wa marekani huyo.💥💥💥💥
Raisi wa Iran: leo ni siku ya Quds, pamoja na mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na wazayuni na wamarekani, bado wairan wameweza kujumuika kwenye siku hii
Quds ni nini?Unaliona Hilo nyomi linalosupport hio Serikali? Mamilioni ya watu wapo nje
View attachment 3557455
Hapo Isfahan
View attachment 3557456
Hapo Tehran
Watu wote wapo nje kusupport Serikali, unafkiri kuna kiumbe kitatoka kiandamane hapo kukataa Serikali? Wale wa upande wa pili wanafanya Tu timing na fujo Ila sio wengi hivi
Kawaulize wenyewe…..Imedondoka Kwa hitilafu zake au imeshambuliwa ?
US au Israel hawawezi kupiga bomu kwenye hilo kundi la waandamanaji. Never. Kama wana jeuri waende kwenye viwanja vya nyumba zao wakaomboleze kama hapo baranarani.Watakuwa vibaraka wa Israel. Mbona wao hawauwawi , mabomu yanapigwa pembeni kama wanawasindikiza .