Jerusalem,Quds ni nini?
Mkuu, Namna hii, kwa wabobevu wa mambo ya vita, kukiwepo makundi mawili yanaypingana katika mwelekeo wa Serikali, haiwezi kuleta shida nyingine ya vita ya wao kwa wao?Unaliona Hilo nyomi linalosupport hio Serikali? Mamilioni ya watu wapo nje
View attachment 3557455
Hapo Isfahan
View attachment 3557456
Hapo Tehran
Watu wote wapo nje kusupport Serikali, unafkiri kuna kiumbe kitatoka kiandamane hapo kukataa Serikali? Wale wa upande wa pili wanafanya Tu timing na fujo Ila sio wengi hivi
Raisi mwenyewe alikua majeruhi.Pezeshkian walking among the people while his Supreme Leader is injured and in hiding.
The president is visible. The Supreme Leader is not.
Iran's public face right now is the man Israel deliberately kept alive because they think he's negotiable.
Kwa sababau ni wataalamu wa mbinu na mikakati.How come Israel huwa hapigani peke yake dhidi ya Iran?
Nauliza tu 🤣.
Huyo ni upande wa Siasa.Raisi mwenyewe alikua majeruhi.
Pia negotiable kivipi? Hana power huyo ya maamuzi yoyote, unafkiri anaweza kusimamisha vita?
Vita vinatokana unapo ignore watu wengine, siku zote ukimzuia MTU asiongee ama kumnyima haki zake za msingi anaweza kuasi.N
Namna hii, kwa wabobevu wa mambo ya vita, kukiwepo makundi mawili yanaypingana katika mwelekeo wa Serikali, haiwezi kuleta shida nyingine ya vita ya wao kwa wao kweli chief
Huo uwezo hana na hataweza kuwa naoHow come Israel huwa hapigani peke yake dhidi ya Iran?
Nauliza tu 🤣.
Hawa nao kila siku wanasema hivyo hivyo…..💥💥💥💥
General caine: Leo itakua siku kubwa ya marekani kufanya mashambulizi makubwa ndani ya Iran