Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

mbona Irani yeye huingia kwa pamoja akiwa hamas'. wahouth na hezeblah au haujui hilo
Nawashangaa.

Kwenye vita/mgogoro ukisimama pekee yako you are doomed to fail.

Na hutakiwi kuwa Neutral, sasa hivi waarabu wanapigwa na Iran alafu hawajibu kitu.

Baada ya vita Israel ndio atakuwa anawapa amri, wakizingua anawakumbusha kilichoipata Iran
 
Rais wa Cuba, Miguel Díaz-Canel, ametoa tangazo la kushtua kupitia televisheni ya taifa akibainisha kuwa serikali yake imekubali kuanza mazungumzo na Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump, hatua hii inatajwa kuwa ni matokeo ya shinikizo kubwa ambalo nchi hiyo imekuwa ikikabiliana nalo, jambo lililopelekea Cuba kubadili mwelekeo wake wa kidiplomasia ili kunusuru hali ya mambo nchini humo.

Mabadiliko haya makubwa katika sera za kigeni za Cuba yanaashiria kuanza kwa sura mpya ya mahusiano kati ya mataifa hayo mawili ambayo yamekuwa na mivutano ya muda mrefu, ingawa maelezo ya kina kuhusu makubaliano hayo bado hayajawekwa wazi, mazungumzo haya yanatarajiwa kuangazia masuala mtambuka ya kiuchumi na kisiasa, huku jumuiya ya kimataifa ikifuatilia kwa karibu kuona jinsi utawala wa Trump utakavyopokea hatua hiyo ya Havana.

Ikumbukwe siku za nyuma Trump alisema baada ya Iran Kituo kinachofuata ni Cuba anaweza kuichukua kirafiki au Kimabavu, Sasa miguel ameona atupe taulo tu bado anautaka urais wa Cuba😁

#mchululu_updates
 
Mkuu mie sio Pro Iran ila upashaji wako wa taarifa una shida kidogo au hufikii taarifa za ndani kabisa za Israel kama unavyozipata za Iran (Means kuna censorship ya taarifa upande wa Israel) . Kwa Iran una ainisha milipuko, eneo lengwa na ukubwa wa uharibifu. Ila kwa upande wa Israel unasikia ving'ora tu bila picha wa kutuambia kama iran ameshambulia au la. At least kuwa muwazi kama umeamua kutuhabarisha kuhusu hii vita.
Hili ni jukwaa huru
Leta wewe hizo habari za ndani ndani za Israel

Tukiwaambia mtu mzima anabondwa muwe mnaelewa
 
Screenshot_20260313_182928_Instagram.jpg
 
mbona Irani yeye huingia kwa pamoja akiwa hamas'. wahouth na hezeblah au haujui hilo
Tangu dunia kuumbwa vita hii ndio ya kwanza Hizbollah na Houthi kuhusishwa kwasababu aliyeuawa ni kiongozi wa dini.
Hamas hawakuwahi shiriki vita pamoja na Iran ACHA KUONGOPA.
Pia usifananishe hivyo vikundi vya wanajihadi na nchi kamili yenye jeshi kamili kama USA.
 
Rais wa Cuba, Miguel Díaz-Canel, ametoa tangazo la kushtua kupitia televisheni ya taifa akibainisha kuwa serikali yake imekubali kuanza mazungumzo na Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump, hatua hii inatajwa kuwa ni matokeo ya shinikizo kubwa ambalo nchi hiyo imekuwa ikikabiliana nalo, jambo lililopelekea Cuba kubadili mwelekeo wake wa kidiplomasia ili kunusuru hali ya mambo nchini humo.

Mabadiliko haya makubwa katika sera za kigeni za Cuba yanaashiria kuanza kwa sura mpya ya mahusiano kati ya mataifa hayo mawili ambayo yamekuwa na mivutano ya muda mrefu, ingawa maelezo ya kina kuhusu makubaliano hayo bado hayajawekwa wazi, mazungumzo haya yanatarajiwa kuangazia masuala mtambuka ya kiuchumi na kisiasa, huku jumuiya ya kimataifa ikifuatilia kwa karibu kuona jinsi utawala wa Trump utakavyopokea hatua hiyo ya Havana.

Ikumbukwe siku za nyuma Trump alisema baada ya Iran Kituo kinachofuata ni Cuba anaweza kuichukua kirafiki au Kimabavu, Sasa miguel ameona atupe taulo tu bado anautaka urais wa Cuba😁

#mchululu_updates
Ndio maana Iran ianguke ikitoka Cuba Zinafata Tanzania
 
Nawashangaa.

Kwenye vita/mgogoro ukisimama pekee yako you are doomed to fail.

Na hutakiwi kuwa Neutral, sasa hivi waarabu wanapigwa na Iran alafu hawajibu kitu.

Baada ya vita Israel ndio atakuwa anawapa amri, wakizingua anawakumbusha kilichoipata Iran
Wacha kuwa delusional.
Unadhani baada ya mossad kukamatwa Riyadh wakipanga false flag attack waarabu watamsikiliza Israel au Marekani?
Unadhani baada ya USA kuondoa ADS zake kwa waarabu na kuzielekezea Israel waarabu watamsikiliza USA!??
Wenzako wameshakaa kikao wakifikiria kujiondoa na mikataba ya ulinzi na USA.
Wewe unapiga porojo hapa.
 
Back
Top Bottom