Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

🚨🚨 ALL US bases in the Middle East should be CLOSED — they will be attacked: 🇮🇷 Iran's Supreme Leader Mojtaba Khamenei

KEY TAKEAWAYS from his speech:

🌏 The lever of blocking the Strait of Hormuz must continue to be used

🌏 However, we will obtain compensation from the enemy by any means necessary. If they refuse, we will seize their assets to the extent we deem appropriate. Should that not be possible, we will destroy an equivalent amount of their property

🌏 The Islamic Republic does not seek domination or colonial influence in the region. We remain fully prepared for unity and warm, mutual relations with all neighboring countries
 
Attachments

  • Screenshot_20260312_190818_Telegram.jpg
    Screenshot_20260312_190818_Telegram.jpg
    102 KB · Views: 13
Sasa kama hawezi kukaa na majirani zake Kwa amani Tena waislamu wenzake

Kumbuka hao ni waislamu wenzake og sio kama hao wa mchawima au kizimkazi

Hiyo ni ishara ya Iran ni mkorofi kiasi gani akipewa Nuklia ataanza kulipia ovyo majirani

Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuunga mkono Iran kumiliki Nuklia

Saudi Arabia, UEA , Qatar kule Kuna waislamu wenzake na wanakataa mpango wa Iran wewe wa mchambawima unajidai kuwazidi
Badala ya kujibu hoja una ruka ruka tu , Unajua chanzo Cha Iran na USA kuwa maadui tuanzie hapo kwanza !? Unajua kwamba Iran hii unayo Iona Leo imeshawahi kuwa mshirika mkubwa wa USA kuliko hata hizo nchini unazo zitaja !?

Iran wamegoma kuwa puppet wa USA na WA Nchi za Ulaya wamegoma kuibiwa Rasilimali zao na matai
Bahrain ni kisiwa kuna njia moja Tu kutoka Ardhini nayo ni daraja kubwa kwenda Saudia
View attachment 3557013
Tofauti na Dubai na Saudi, Wanajeshi wa USA wapo Trapped hapo Bahrain wanajificha kwenye mahoteli na nyumba, so drones zinawasaka popote walipo zinawaua.
Dadeki 😄
 
Hayo ni mawazo yako. Tatizo lenu mnaleta ushabiki huku Iran hakukaliki. Watu 3.2m wamekumbia makazi yao nyinyi mko busy kusema Israel anaficha data.
Kwahiyo israel ndio kunakalika kisa watu wao wanaishi kwenye maandaki kama panyabuku bila kusahau NETAPAKA aliyekimbia nchi huku mke wake na watoto wapo Florida(miami).

Nyie ndio mashabaki na sasa hivi Ayatollah mpya aliyepatikana huyu alikua mwanajeshi na sio soft kama baba yake hivyo kipigo kinavyozidi lazima mtang'oa hadi satellite, Kuminya taarifa.
 
Sawa.
 
Tatizo lenu mnalishwa Propaganda za uongo na West,hebu msikilize raia wa Iraq akijuta kunyongwa kwa Sadam.Nenda Libya kwa Ghadafi hizo ni Propaganda za uong😵bam anajuta kumwondoa Ghadafi na alikubali makosa yake,Tony Blair anajuta kupigana vita na Iraq zote ukifuatilia sababu za uongo.

View: https://m.youtube.com/watch?v=z9wC6W7EJpg&pp=ygUiUGVvcGxlIG9mIGlyYXEgdGhleSByZW1lbWJlciBzYWRhbQ%3D%3D
Nchi zote ambazo US amepigana vita kwa Propaganda, zake za uongo sijui Demokrasia ,Uhuru wa kujieleza leo zote zipo vipande vipande na hazitawaliki.Nenda Libya,Yemen,Iraq,Somalia,Syria nk zote hazitawaliki.

Hiki ndicho alichosema Kansela wa Ujerumani, Rais wa Spain, Italy na wabunge wa EU leo walikuwa na mjadala wengi walirefer uongo wa US kwa vita ya Libya na Iraq.
View attachment 3557066

Siwezi bishana na mtu anayeongozwa na mihemko. Yaani viongozi wa nchi wanauliwawa kama kuku halafu mnasema mnajeshi? mkuu kuwa serious basi. Utakuwa na upungufu wa akili kuamini Iran anaweza kupigana na Marekan ambaye raia wa Iran wenyewe wanaona fahari kwenda Marekan na hata wewe ukiambiwa uchague ukaishi Iran au Marekan utakimbilia Marekan.
 
Sasa mihemko we unazani kwani Kansela leo kasema hiko hiko, Spain waseme hiko hiko,Italy waseme hiko hiko,wabunge wa EU nao wanazungumza hiko hiko.Wewe ndiye limbukeni ,so wewe ulitaka Iran asireact baada ya kushambuliwa?Halafu ktk miaka ishirini US kapigana vita na nchi saba ,hamna vita aliyopigana peke yake na ndio maana Trump anapush apate msaada kutoka NATO,ila NATO wamemkataa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=pgFGtTxfUnU&t=7s&pp=ygUaVXMgcHVzaCBmb3IgaGVscCBmcm9tIE5BVE8%3D

Angalia ulivyo Limbukeni na tahira, so wewe kuishi US unaona deal kisa ni US kama akili zenyewe ndio hizo ,ngumu sana kuendelea,kuna uwezekano hujui hata fursa kwenye mazingira yaliyo kuzunguka.,hauna tofauti na mateja wale wazamani akili zao kuzamia kwenda mbele.
 
Siwezi bishana na mtu anayeongozwa na mihemko. Yaani viongozi wa nchi wanauliwawa kama kuku halafu mnasema mnajeshi? mkuu kuwa serious basi. Utakuwa na upungufu wa akili kuamini Iran anaweza kupigana na Marekan ambaye raia wa Iran wenyewe wanaona fahari kwenda Marekan na hata wewe ukiambiwa uchague ukaishi Iran au Marekan utakimbilia Marekan.
Wacha maneno lete mziki!!!!
 
Attachments

  • 20250614_000352.jpg
    20250614_000352.jpg
    79.7 KB · Views: 15
  • IMG_20250423_194025.jpg
    IMG_20250423_194025.jpg
    129.2 KB · Views: 16
  • VID-20240928-WA0114.mp4
    10.9 MB
  • VID-20250623-WA0046.mp4
    5.8 MB
  • 1772757880575.png
    1772757880575.png
    78.2 KB · Views: 14
  • 4cbv7fe6ebc3ae2p2la_800C450.jpg
    4cbv7fe6ebc3ae2p2la_800C450.jpg
    64.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    102.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    95.5 KB · Views: 16
  • HDGvRGZXYAAEPxA.jpeg
    HDGvRGZXYAAEPxA.jpeg
    160.7 KB · Views: 16
  • 20260311_163527.jpg
    20260311_163527.jpg
    1.1 MB · Views: 11
  • 20260311_163505.jpg
    20260311_163505.jpg
    1.6 MB · Views: 15
Kwahiyo israel ndio kunakalika kisa watu wao wanaishi kwenye maandaki kama panyabuku bila kusahau NETAPAKA aliyekimbia nchi huku mke wake na watoto wapo Florida(miami).

Nyie ndio mashabaki na sasa hivi Ayatollah mpya aliyepatikana huyu alikua mwanajeshi na sio soft kama baba yake hivyo kipigo kinavyozidi lazima mtang'oa hadi satellite, Kuminya taarifa.
Hahaa huyu Ayatolah wa sasa Mojtaba ndio anaishi mashimoni kama panya buku hata kutoa speech arekodi anaogopa. Mazayuni sio watu wazuri😄
 
Back
Top Bottom