Israel ilichapika Vita ya siku 12 lkn wakatumia media zao kudai wao ndio washindi💪
Aibu hawana uwongo wa mchana kweupe sababu!!
kama ingekuwa kweli
Israel ndio inachapa nawaambia ile Vita mpaka kesho ingeendelea kama ya Gaza !!
Waisrael wana rohoo mbaya isiomisilika vipi waache kuwatwanga na Vita ipo mikononi mwao.!!
Ukweli kachapika ile siku 12 nasasa pia anachapika ndio mana Wazayuni wa USA wanamzonga Trump atafute kumaliza vita.