City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo padad
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo padad
Ila Israel wamechapika sana tofauti na Iran!💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la amirkabil ,- Shiraz
Kwahiyo ulitaka Iran watulie tu bila ya kuwalipua hao majirani zake hence unaona kuwa Ardhi za hayo mataifa zinatumika kumuhifadhi adui wa Iran na vita inapo piganwa silaha za kuiangamiza Iran zinatoka huko huko Kwa majirani zake Iran , so ulitaka Iran wakae kimya tu wasifanye kitu Kwa hao majirani licha ya kumuhifadhi USA katika Ardhi zao
Samahani kama nitakuwa nakosea
Hivi una Akili timamu kweli !?
UshahidiIla Israel wamechapika sana tofauti na Iran!
Hizi habari zinawafariji sanaWhere is Bibi?
Israel’s PM has vanished from the public eye. For several days, Netanyahu has been absent from the media—and the internet is flooding with theories about the disappearance of the chief architect of the aggression on Iran.
Geopolitics Prime rounds up the hottest points:
🌏 Fled to Germany. Netanyahu reportedly bolted for Berlin immediately after the assassination of Ayatollah Khamenei, while his wife and son holed up in their Miami apartment. The family has been spotted in the US—but Bibi is reportedly trying to fake being in Israel. The thing is the internet isn't buying it
🌏 Americans are asking questions. Sources say even Washington is growing uneasy as, unlike the early days of the war, Netanyahu hasn’t appeared—not even in a pre-recorded video
🌏 Israelis can’t find him. Netanyahu is reportedly skipping war cabinet meetings—the very heart of Israel’s crisis command. Local users are sounding the alarm: where is Bibi?
🌏 "Intel from India". Multiple social media accounts claim that India’s RAW agency allegedly believes Netanyahu and Mossad chief David Barnea were killed by a ballistic missile during a meeting in Tel Aviv. Wild, but what do you think?
Hiyo ni miundombinu ya kijeshiDuuh hasara wanayo pewa promised land mungu mwenyewe huko alipo ana Cheka kama mwehu 🤣
Wafuasi wa Ayatollah mna maneno sana kama Babu yenuHalafu watu hawajui kuwa USA tyr kashaishiwa plan zote sema anajibaraguza tu kuendelee kupambana.
1)Alitegemea Ayattollah akifa Iran watavurugana itakuwa rahisi kupenyeza mtu wake,yule kibaraka wake aliyemuandaa alishaanza kutangaza kwenda Iran kuchukua madaraka😆
2)Kete yake nyingine ilikuwa watu wa Iran waingie barabaran waandamane kushinikiza regime change watu wamekausha plan ikafeli
3.Kete ya tatu alitegemea support ya ground invasions ya kurdi,nao wamechomoa hana namna
4.Kete ya mwisho kabisa alitegemea mabeberu wenzie wamuunge mkono,akashangaa watu wanachomoa kila mtu kumsaidia
Wewe unafikiri kuna nchi middle east kwa sasa itakubali kumpa US ardhi yake kwa ajili ya military base, wewe unazani siku US akimchokoza Kiduku au Russia unazani hizo base za middle east ataziacha?Maana hizo ndizo za karibu,Iran hakukurupuka na alishawahi kuziambia hizo nchi za middle east.Iran kufanya hivyo kapunguza mashambulizi mengi sana kutoka US, bila hivyo sasa hivi anagekuwa na hali mbaya na mission zote za kumpiga Iran ziliratibiwa na hizo kambi za middle east. Russia mwenyewe ameshawaambia EU,siku US atakayo jipendekeza ataanza na wao then anamalizia na US.Sasa kama hawezi kukaa na majirani zake Kwa amani Tena waislamu wenzake
Kumbuka hao ni waislamu wenzake og sio kama hao wa mchawima au kizimkazi
Hiyo ni ishara ya Iran ni mkorofi kiasi gani akipewa Nuklia ataanza kulipia ovyo majirani
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuunga mkono Iran kumiliki Nuklia
Saudi Arabia, UEA , Qatar kule Kuna waislamu wenzake na wanakataa mpango wa Iran wewe wa mchambawima unajidai kuwazidi
Tena saana mpaka zinatolewa cctv camera bila kusahau mwanachi yoyote atayepatikana na kosa la kupiga picha na kurekodi video za mashambulizi yanayofanywa ndani ya nchi adhabu yake ni kifungo cha miaka 5.Hizi habari zinawafariji sana
Ila kichapo ni heavy Kwa Iran
Ushahidi unao ila unataka tu kubishaUshahidi
👆👆😁😁😁😁😁😁😁💥💥💥💥
King'ora cha tahadhali kimelia katikati mwa Israel
Kitu pekee nilichokiona kwa washabiki kwenye hii vita ni kujitoa akiliIla Israel wamechapika sana tofauti na Iran!
Mbona nasikia siku tatu sasa US wala Israel hajarusha bomu?💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la chaharshir