Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Jana Iran kashambulia miji mitano,hizi picha za haya maeneo ka.a sio leo basi kesho tutaanza kuziona

View: https://m.youtube.com/watch?v=e9SAx-LH12w


View: https://m.youtube.com/watch?v=7wWM4L5KjyI
Naona baada ya hii vita member wa NATO,wataanza kutumia akili zao vizuri na kuondoa uoga wa kumuogopa US, bunge la Italy nalo linakaataa kujiunga kwenye hii vita,Spain wamemchana Trump ,bunge la Belgium nalo hivyo hivyo,Waziri mkuu wa UK baada ya kutoa kambi zake zi tumike na US,wabunge wameanza kumkaanga. NATO wamechoka kuendeshwa, maana sasa hivi hali zao za kiuchjmi hazipo vizuri.

View: https://m.youtube.com/watch?v=P9yaMZp-wvI&pp=ugUEEgJlbtIHCQnFCgGHKiGM7w%3D%3D

Na kwambia baada ya hii vita USA kazi wanayo 🤣
 
Swali la mtego!!! Mzee kalikimbia!!!!!!!!

Trump asked if war has succeeded if Iran's new supreme leader stays in power​



Asked directly if the US could claim victory in Iran if the new supreme leader remains the son of the late Ali Khamenei, Trump said he didn't want to comment on that.

20:21


🤣🤣🤣 Mzee muongo muongo mpaka kapitiliza
 
Wewe ni Ant Trump
Huwezi kuona umuhimu kutatua changamoto kabla ya kuwa kubwa

Kitendo Cha Iran kushambulia majirani zake Tena wa Imani Moja

Imeonyesha wazi kama wakoruhusiwa kumiliki nuclear Nini watafanya
Kwahiyo ulitaka Iran watulie tu bila ya kuwalipua hao majirani zake hence unaona kuwa Ardhi za hayo mataifa zinatumika kumuhifadhi adui wa Iran na vita inapo piganwa silaha za kuiangamiza Iran zinatoka huko huko Kwa majirani zake Iran , so ulitaka Iran wakae kimya tu wasifanye kitu Kwa hao majirani licha ya kumuhifadhi USA katika Ardhi zao

Samahani kama nitakuwa nakosea

Hivi una Akili timamu kweli !?
 
Kwanza Nchi kama England France Italy ndio zitakuwa zinamuogopa Iran kama kifo maana kama USA kapewa mkong'oto hivyo wao nani !?

Iran wameleta taswira mpya kabisa ya ubabe wao duniani na Jamii ya mataifa yote ya middle east wakiisikia Iran watakuwa wanatetemeka

Baada ya hii vita I bet Iran ndio watakuwa wamevurugwa mara tatu yake bomu la nyuklia lazima liundwe Ili kuzidisha threat Kwa vimbele mbele

All in all USA na Israel wameumbuka vibaya sana what an embarrassing!? 🙌🙌🤣
USA hawana umoja kama Wairan.

Huwezi sikia tops wa Iran wanasimangana Lkn ni hali ya kawaida huko Usa kusimangana. Huyu anaongea hili na yule lile, Trump nae analopoka lake.

Ila nawahakikishia USA wangekua wamoja IRAN ingefanywa vibaya sana kiasi ambacho ingekuwa ngumu kurudi kwenye nyuklia tena
 
USA hawana umoja kama Wairan.

Huwezi sikia tops wa Iran wanasimangana Lkn ni hali ya kawaida huko Usa kusimangana. Huyu anaongea hili na yule lile, Trump nae analopoka lake.

Ila nawahakikishia USA wangekua wamoja IRAN ingefanywa vibaya sana kiasi ambacho ingekuwa ngumu kurudi kwenye nyuklia tena
Usa hawana umoja Tena !?

Now mmeanza kuja na visingizio !? 🤣🤣

Iran wame improve acha ujinga unapaswa kuwapa credit Kwa kile walicho nacho na wanacho kionyesha in Butterfield Dunia nzima haikutaraji kuona hiki kinacho tokea now

Nchi ambayo imekaa katika vikwazo all most 40yrs now inatoa mkong'oto vibaya sana Kwa USA na Israel, wonder will never ends

Mnapaswa kukubali kwamba huyo USA Kwa Dunia ya Sasa Hana jipya
 
Je ni kweli IRAN imeweza kusimama Kivita na Mataifa mawili yani MAREKAN na ISRAE!!

Na kuwatetemesha kiasi sasa ni wao ndio wanatafuta njia ya kurusha taulo Uwanjani!!!

Kweli Dunia inazunguka. MUISRAEL kawa ngoma ya Iran!!!!
🤣🤣🤣🤣 Promised land !!! What happened to them !?
 
Pennies, budget ya Jeshi Iran ni hela ndogo Sana hata Tanzania tukifunga mikanda tunaweza kuafford. Ni chini ya 10B USD kwa mwaka mzima na Silaha zao hawanunui wanatengeneza wenyewe.

Hizo drones zinacost kama 10K USD, hata ukirusha drone 2000 kama walivyoreport ni 20M USD. So interceptor moja ya Marekani high-end inacost Sawa na Drones 1000 za Muiran.
😄😄
 
Irani ni mgumu kiukweli, vita ya siku 12 jamaa walipambna. Kavamiwa tena kwa kuuwawa mkuu wa nchi na nakamanda kibao but bado jamaa wanajibu na hawakubali tu. Kuna kitu hawa Urani wanatuficha yaan dunia haijui..huwezi kushambuliwa hivyo tena na Marekani na Israel ukawa salama. Labda hii vita hatuambiwi ukweli. IRANI atakuwa Superpower ila hatuambiwi cause hii ni mara ya pili anapingwa mande ila jamaa anamikakati yakuumiza wanaowavamia hata kama walikuwa na vikwazo miaka yote hiyo.
😄🤣🤣 Yeah Huwa wanaminya data utasikia N.korea wana maisha magumu sana , oohh Russia ni maskini mnoo mara ohh Iran wanaanguko kubwa la kiuchumi

Jamaa Huwa wana tudanganya sana na data zao za kupika

Kwa mfano ukiitazama N.korea Ina miji mizuri Iko well organized Nchi imependeza kinyama watu wanaunda Kila kitu wao wenyewe magari Simu etc halafu huku tuna ongopewa kuwa N.korea ni maskini watu maskini wanawezaje kuwa na high advance technology ya kiwango hicho kama N.korea na Iran !?

Hawa jamaa sijui Huwa wanatuona wote wehu
 
Hii vita isiangaliwe kidini, utagundua Irani anapambana tena na mataifa makubwa na yenye uzoefu kivita ila hadi sasa hawajafanikiwa kuangusha utawala wa Irani. Jamaa wako vizuri sana ingawa watu wanataka kuwabeza, wangekuwa wengine washamalizana sahizi. Irani hata kma ni kobazi tuseme tu ukweli jamaa wako vizuri kivita na bila vikwazo wangekuwa superpower!!
😄😄 Sindio
 
Miundombinu ya kuwalindia wenzie haina uwezo tena kichobaki ni kuwalinda kwa maneno sijui wataendelea kumuamini awalinde, yaani katia aibu mameli yote aliyotuma yameshindwa kumlinda hata yeye mwenyewe
😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Aibu kubwa sana what a shame Sasa sijui atawatishia Nini ili waweze kukubali kulindwa Tena na USA !!!?

Aibu sana kwakweli nacheka kama mazuri , waliosema acha mvua inyeshe tuone panapo vuja ndio hii Sasa ! 🤣😄😄🙌🙌

Yaani USA anakwenda kupoteza ushawishi kwakiasi kikubwa sana Nchi za middle east zitawaamini vipi Tena kwamba wanastahiki kuwalinda , Yaani Unaanzaje kuniambia kwamba una power ya kunilinda wakati wewe mwenyewe base zako 27 zimekong'otwa vibaya mpaka umehama venue !

Pro USA na Israel yote haya hawayaoni wanachukulia mambo poa sana 😄😄
 
Back
Top Bottom