Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Usa hawana umoja Tena !?

Now mmeanza kuja na visingizio !? 🤣🤣

Iran wame improve acha ujinga unapaswa kuwapa credit Kwa kile walicho nacho na wanacho kionyesha in Butterfield Dunia nzima haikutaraji kuona hiki kinacho tokea now

Nchi ambayo imekaa katika vikwazo all most 40yrs now inatoa mkong'oto vibaya sana Kwa USA na Israel, wonder will never ends

Mnapaswa kukubali kwamba huyo USA Kwa Dunia ya Sasa Hana jipya
Kwahiyo unataka ni seme wanaumoja wakati hawana.
Suala la Iran kila mtu anatambua kwamba wamejitahidi kwa teck ya makombola.
Kilichonisitaabisha mm nikuona umoja wao. Viongozi wote wako wamoja.
 
😄🤣🤣 Yeah Huwa wanaminya data utasikia S.korea wana maisha magumu sana , oohh Russia ni maskini mnoo mara ohh Iran wanaanguko kubwa la kiuchumi

Jamaa Huwa wana tudanganya sana na data zao za kupika

Kwa mfano ukiitazama S.korea Ina miji mizuri Iko well organized Nchi imependeza kinyama watu wanaunda Kila kitu wao wenyewe magari Simu etc halafu huku tuna ongopewa kuwa S.korea ni maskini watu maskini wanawezaje kuwa na high advance technology ya kiwango hicho kama S.korea na Iran !?

Hawa jamaa sijui Huwa wanatuona wote wehu
Mkuu ni North Korea na sio south Korea. Najua hii ni typing error.
 
Wewe mbona siku elewi upo upande Gani !? Kila upande una shangilia !?
Carasco Putin ndio alivyo hata kwenye ile vita ya siku 12 alikua na kauli yake ya Pwagu na pwaguzi saivi anatembea na kauli ya wahuni wamechafukwa na huwa haeleweki yupo upande upi naona furaha yake yeye ni kuona kila upande ukipeleka moto hiki ndio anachojali.
 
Carasco Putin ndio alivyo hata kwenye ile vita ya siku 12 alikua na kauli yake ya Pwagu na pwaguzi saivi anatembea na kauli ya wahuni wamechafukwa na huwa haeleweki yupo upande upi naona furaha yake yeye ni kuona kila upande ukipeleka moto hiki ndio anachojali.
🤣🤣 Kwamba yeye anachohitaji ni violence tu !?
 
🇺🇸🇮🇷 ‘We’re not winning this war’: Retired US Army Col. MacGregor on Iran conflict

💬 “We said we were interested in regime change, then we’ve dropped regime change and said we want unconditional surrender – you’re not going to get either,” says Douglas MacGregor

The military veteran condemns Trump’s handling of the conflict, warning that a similar strategy led to the failure of US forces in Vietnam.
 
Kwanza Nchi kama England France Italy ndio zitakuwa zinamuogopa Iran kama kifo maana kama USA kapewa mkong'oto hivyo wao nani !?

Iran wameleta taswira mpya kabisa ya ubabe wao duniani na Jamii ya mataifa yote ya middle east wakiisikia Iran watakuwa wanatetemeka

Baada ya hii vita I bet Iran ndio watakuwa wamevurugwa mara tatu yake bomu la nyuklia lazima liundwe Ili kuzidisha threat Kwa vimbele mbele

All in all USA na Israel wameumbuka vibaya sana what an embarrassing!? 🙌🙌🤣
Halafu watu hawajui kuwa USA tyr kashaishiwa plan zote sema anajibaraguza tu kuendelee kupambana.
1)Alitegemea Ayattollah akifa Iran watavurugana itakuwa rahisi kupenyeza mtu wake,yule kibaraka wake aliyemuandaa alishaanza kutangaza kwenda Iran kuchukua madaraka😆

2)Kete yake nyingine ilikuwa watu wa Iran waingie barabaran waandamane kushinikiza regime change watu wamekausha plan ikafeli

3.Kete ya tatu alitegemea support ya ground invasions ya kurdi,nao wamechomoa hana namna

4.Kete ya mwisho kabisa alitegemea mabeberu wenzie wamuunge mkono,akashangaa watu wanachomoa kila mtu kumsaidia
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la ahvaz
20260312_152124.jpg
 
Back
Top Bottom