Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

hata
Hii Israel inayosaidiwa na USA!??
Kama Israel inajiweza kwanini ilimshinikiza USA aingie vitani!??
Unaweza ukatujibu hilo swali??
Kwa hapa Afrika hiyo Israel nampa Algeria tu achilia mbali Morocco au Egypt. Algeria tu Israel HATOBOI.
Labda amuite mumewe USA kama kawaida yake.
hukumbuki kama waliwahi ungana wakala kichapo
 
BREAKING: The Pentagon is reportedly sending a Marine Expeditionary Unit to the Middle East after Iranian attacks disrupted shipping in the Strait of Hormuz, according to U.S. officials.The deployment includes amphibious warships and thousands of Marines as Washington moves to secure the critical maritime chokepoint.Source: WSJ
 
BREAKING: The US Department of State’s Rewards for Justice programme has set a reward of up to $10 million for information on “Iranian terrorist leaders”, including Ayatollah Mojtaba Khamenei.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la sarakhsahr Tehran
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi chamran karaj
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la nabonyad. Mlipuko mkubwa
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kituo cha utafiti wa anga eneo la khovardin magharibi mwa Tehran
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la sattarkhan magharibi mwa Tehran
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la katikati mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran
J
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini magharibi mwa Tehran
Jamaa ni sugu.
 
Back
Top Bottom