City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hapana, hizo wanazo 19Mkuu,Kwani haya ndo wanayosema yako sita tu kwa sababu ya gharama zake?
Duh! Yale waliyosema hayaonekani ambayo yalishambulia mara ya mwiso Iran kwenye sehemu za nyukilia kwenye vita ya siku 12 yanaitwaje mkuu?!Hapana, hizo wanazo 19
Hawa jamaa mpaka kumaliza vita watakuwa wamepeana hasara kubwa sana ya uhai na miundombinu yao.
We ndio unamchukia sisi tunamjua ni proo wawapi ktk hii Vita so hatupi shida Kabisa!!sijui wakti mwingine labda uwe unasema Iran k intercept maana jamaa wanakuchukua hao
Ndio hizo B-2 bombersDuh! Yale waliyosema hayaonekani ambayo yalishambulia mara ya mwiso Iran kwenye sehemu za nyukilia kwenye vita ya siku 12 yanaitwaje mkuu?!
Duh! Iran ataweza kuzizuia kweli au ndo piga nikupige tu. Wanabadirishana mashambulizi haijarishi unampigaje mwenzio. Sema vita siyo nzuri ila ndo wababe wa dunia wanaamua tu kukushambulia. Nashukuru Jeshi langu ni la sita duniani kwa ubora hata tukivamiwa tutawanyoosha wavamizi.Ndio hizo B-2 bombers
Ndio zipo muda huu Iran zinashambulia