Hizo chai zako I don't buy it ndio maana sitaki kureply hata comment zako najua ni uongo. Ndege anazo ila sio eti ndege 100 angani, pili hiyo ndege yenyewe inayotumika kama radar inatumia tech ya zamani (Source: Hindustan Times),wanaitumia sababu mifumo yao mingi ya anga imelipuliwa so hawana jinsi. Kwa anga la Middle East hawezi kweka ndege 100 US sio chizi,kwani sasa hivi si US wala Myahudi maanga yao yamekuwa kama chujio.
Wamepata hasara kwa meli zao za Ford na Lincoln kupigwa ,hawawezi wakarisk kuweka ndege mia,vita yenyewe NATO wamemchunia, we mpaka Canada kamchomolea. Lile Lincoln ni USD 2.5bil ,Ford yenyewe linahali mbaya, hawawezi risks kuweka ndege mia wakati ya hali anga haieleweki,wewe mpaka wanamgambo matoi yao yanadungua ndege, Hisbolah siku mbili juzi na jana katia hasara kubwa kwenye ardhi ya Myahudi, mpaka kachukua askari wake wa akiba wakakabiliane na Hisbolah.